mdesi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,366
- 2,202
Habari wanajamii,
Mimi ni msomaji sana wa post humu ndani, niseme ukweli nimejifunza vingi sana. Ila nimesikitishwa na hii tabia ya kupost stori za kutunga afu unaweka as if ni ukweli lakini ukisoma unakuta ni wazi vitu havina ukweli.
Mfano mtu alichangia uzi fulani amesema, "Mke alikuwa hataki kuzaa na mumewe akafunga kizazi baadae akaachana na huyo mume akaenda kwa mwingine akamzalia watoto km kawa".
Uzi mwingine ni huu wa "Jinsi nilivyo furahi mke alivyoachishwa kazi". Ameandika kuwa mke alipata kazi kampuni ya simu akawa anapata 3mil then kampuni ikauzwa akapoteza kazi, lakini kiuhalisia hakuna kampuni ya simu iliyouzwa hapa karibuni.
Stori km hizi ni vizuri ukaandika kuwa ni hadithi watu tujue kuwa si kitu cha uhalisia.