Somo: Wanawake wanaochora tattoo

Nyie wadada mnaochora Tattoo za majina ya boyfriend zenu mnatakiwa muwe makini, mhakikishe hayo majina yapo katka vitabu vya dini, mfano Marko ili mkiachana uongezee hapo 2:6. .
Du! We ujachora mamy
 
Nyie wadada mnaochora Tattoo za majina ya boyfriend zenu mnatakiwa muwe makini, mhakikishe hayo majina yapo katka vitabu vya dini, mfano Marko ili mkiachana uongezee hapo 2:6. .
Haijalishi kitu mamii,coz mademu wengi sasa hivi wakimpenda mtu hucora tatoo karibu na naniliu au kule kwenya THE bunyoz,hapo inakua poa kidogo na chachandu ya mbilimbi.
 
Kwanini ujichore kwanza, huo ni ujuha aliyekuambia ukijichora jina lake ndo ataona unampenda nani? Wengine wanajichora mpaka ukenii ikigoma kufitika mapenzii yenyewe hayana guarantee hata ya wiki
 
Cna muda wa kuchora jina la mtu la kaz gan???

Bora nichore hata jina la mama angu maana tuliungana vtovu huyo mwanaume tuliungana wap? Ambaye anytime anakukana kama Pilato
 
Hamna ujinga kama huo, yaani kuchora tattoo ya jina la mwanaume, ili iweje labda kama ni wako ni wako tu jamani tena hizo mbwembwe ndo zitamkimbiza atakuona limbukeni
 
Kuiga tu mbele uko watu wanaweka tattoo zinazo -expire unakuta mtu kajipiga machata mwili mzima na baada ya miezi sita zimefutika na anaweka zingine tena hapa Bongo watu wanajichora hadi na minyaa inakuwa kama ni ile chapa ya ng'ombe haifutiki labda ufanyiwe opereshen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom