Nijuzeni wenye kujua

kizibo1

JF-Expert Member
May 14, 2015
1,187
766
Hivi wale mabinti wanaocheza show kwenye miziki mbali mbali huwa wanatoka wapi? Mbona huku mitaani huwa hatuwaoni?
 
Unaishi wapi???? Weewe....
Kama unaishi kigoma kijijini unategemea kuonana na diamond au kiba akizunguka???
 
Back
Top Bottom