Sifa za mwanamke jeuri ziko je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa za mwanamke jeuri ziko je?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MIUNDOMBINU, Jul 11, 2010.

 1. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  ndugu zangu wana jf.poleni kwa kazi.natumaini wote hamjambo.
  Ndugu zangu ninaomba munisaidie katika kuainisha sifa za mwanamke jeuri,kwa maana ya matendo yake,haiba yake,na nk.( 2) je ninamna gani ya kuweza kuishi vema na mwanamke mwenye jeuri?.

  Wakuu.nimeuliza jambo hili ni kitarajia kupata ufafanuzi mzuri kuhusu tabia za mwanamke jeuri..na jinsi ya kukabiriana na tabia zake.sina lengo la kuta kuwadharau au kuwashushia heshima mama zetu, lakini pia ukweli ni kwamba siku hizi akina mama wamezidi kuwa jeuri kweli.matokeo yake ndoa nyingi zimekosa amani na upendo, kisa jeuri ya mke.
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukishaingia kwenye uhusiano/ndoa na fikra hizi ni dhahiri huwezi dumu nae,anza uhusiano na mawazo mema.
   
 3. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mkuu,
  Hakuna mtu mwenye tabia mbaya au mwenye tabia nzuri. Tabia ya mtu ni "relative factor", which means inategemeana na mtu.

  Kwa lugha nyingine, hakuna mwizi asiye na best friend wanaoendana sana. Wala hakuna mtu mwenye tabia mbaya ambaye hana best friends.

  Mwanamke anaweza kuwa kiburi kwa wengine, lakini kwako akawa mstaarabu. Kinachotakiwa ni akupende sana toka ndani ya moyo wake na akuheshimu kadiri akili yake itakavyoweza.

  Usi judge tabia ya mtu kwa kuangalia wengine wanasemaje, bali kwa kuangalia jinsi anavyo behave kwako.

  Kwani hao wanaoachana kila siku, wake zao mbona ni wa pole sana tu!

  Unanikumbusha girl friend wangu enzi hizo. Alikua mkorofi ka pilipili, ila nikiwa nae hawezi zungumza, mpaka mwenyewe anasema hajui ni kwa nini anakuwa bubu. But I enjoyed her love so much. Ingawa nilikua najua ni mkorofi, but hakuwahi kunionyesha kiburi wala kunijibu pumba for 3 yrs that we stayed.

  Kama mwanamke anakujibu utumbo, huyo achana nae, hata kama wengine wanasema anatabia nzuri.
   
 4. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  jibu murua hili...asante!
   
 5. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu ninaomba munisaidie katika kuainisha sifa za mwanamke jeuri,kwa maana ya matendo yake,haiba yake,na nk.
  Siyo rahisi sifa hizi kuzieleza kimjumuiko maana siyo sare.
  Usichofurahia baada ya kufanyiwa na mwenzio katika mahusiano ndo jeuri lake.
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hakuna mtu asiye jeuri. Wote tuko majeuri ila pengine tunatofautiana kwa kiwango cha ujeuri, na mazingira yanayotufanya ku-react kijeuri. Kwa jinsi hiyo hakuna kanuni maalum ya kukueleza features za mwanamke jeuri kwani ujeuri ni relative. Mtu hawezi kueleza common characteristics za mtu jeuri. Hizi hazipo, ila ujeuri unakutana nao katika mahusiano ya watu wawili kutegemea na jinsi unavyomtendea mwenzako na namna anavyoitikia matendo yako. Hii pia inategemea na kile unachotazamia kutoka kwa huyo mwanamke. Kuna wakati kila unachokiona wewe ni ujeuri kumbe siyo wala siyo ujeuri, ni haki yake. Ndivyo alivyopaswa kukujibu au kukufannyia. Kumbe kumwona mtu/mke jeuri au si jeuri kunategemea utamaduni na malezi ya mtu. Kwa makabila fulani kwa mfano, mwanamke mwema hapaswi kumjibu mume anayegomba kwa hasira. lazima mke akae kimya tu hata kama ana sababu za msingi za kujibu/kujitetea. Kumbe mwanaume kama huyo akikutana na mwanamke wa jamii tofauti, akamjibu itaonekana huyo mwanamke ni jeuri. So, ujeuri ni nini? Ni lini mtu ni jeuri? Inategemea!
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tueleze kwanza ujeuri wako ili tukuambie kwa ujeuri huo mwanamke wa jinsi gani atakuwa jeuri kwako.
   
 8. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  umenifurahisha sana kwa majibu mazuri mkuu,
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hakuna mtu /mwanamke jeuri ni wewe unavyomtreat.ni km 3rd law of newton....!!!!!!!
  pole km tashishwi zimeanza mapema ivo y dnt u look for anaza door?
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  hahahaha Mama hapa Vip?
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  how many doors will he/she keep looking after every tashishwi?.....
  anyways.....!baadae
   
 12. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hakuna sifa za mwanamke jeuri zinazofaa kuspecify maana alie jeuri kwako ni mpole sana kwa mwenzio. ukiona kawa jeuri jua sababu ya ujeuri wake ni hapo hapo kwako! je mnaweza kunipa sifa za mwanaume jeuri?
   
 13. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2016
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  lol
   
Loading...