Huyu msichana simuelewi

Huyu msichana simuelewi

bwii

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Posts
1,432
Reaction score
2,679
Habari wapendwa.

Nimekuwa katika mahusiano na msichana mmoja muda wa miezi sita sasa.Ila kuna kitu sjakielewa toka kwake.
Ni kwamba kila tunaposex kuna neno huwa anapenda sana kulitamka kua"baby nipeleke chooni"na huwa analirudia mara kwa mara hadi mara nyingine nakatiza pambano ili aende au nimpeleke, lakini anabaki kimya kuniangalia na haamki kitandani.

Wadau hii inaweza kua ni mzuka wake au ni gia yake ya kuomba half time.
Msaada kwenu maana hii tabia inanikera, nikimuuliza hanijbu na sometyme nanuniwa na game naweza nisipewe tena.

Nawasilisha kwenu.
 
Habari wapendwa...
Nimekua katika mahusiano na msichana mmoja hivi kwa mda wa miez sita sasa.ila kuna kitu sjakielewa toka kwake.
Ni kwamba kila tunaposex kuna neno huwa anapenda sana kulitamka kua"baby npeleke chooni"na huwa analirudia mara kwa mara had mara nyingine nakatiza pambano ili aende au nimpeleke, lkn anabak kimya kuniangalia na haamki kitandan!
Wadau hii inaweza kua ni mzuka wake au ni gia yake ya kuomba half time!?
msaada kwenu maana hii tabia inankera, nkimuuliza hanijbu na somtym nanuniwa na game naweza nsipewe tena.
Nawasilisha kwenu.....

Itafika muda utamwelewa!!na cku ukimwelewa utuletee mrejesho!!
 
Utapompeleka jiandae na kumchamba pia...
 
kama humwelewi, mwambie akupe notice upige msuli ufanye na home work
 
Huu uzi sio mpya, mleta uzi wa mwanzo alitoa hiyo maana ya 'baby nipeleke chooni'
 
sijui kama nimesahau, lakin hii kitu imeshakuja hapa siku za nyuma
 
we ----- kweli ngojea apate anayejua maana ya hilo neno ka hutatukanwa
 
Ngoja jamaa anakuja saivi,atuambie maana hata mimi pia na hamu ya kujua maana yake.
 
Habari wapendwa...
Nimekua katika mahusiano na msichana mmoja hivi kwa mda wa miez sita sasa.ila kuna kitu sjakielewa toka kwake.
Ni kwamba kila tunaposex kuna neno huwa anapenda sana kulitamka kua"baby npeleke chooni"na huwa analirudia mara kwa mara had mara nyingine nakatiza pambano ili aende au nimpeleke, lkn anabak kimya kuniangalia na haamki kitandan!
Wadau hii inaweza kua ni mzuka wake au ni gia yake ya kuomba half time!?
msaada kwenu maana hii tabia inankera, nkimuuliza hanijbu na somtym nanuniwa na game naweza nsipewe tena.
Nawasilisha kwenu.....

togo hiyo bro!
 
nani mdau wako huku we duwanzi kweli,unaleta thread ya kipumbavu,mambo ya demu wako kutaka kwenda chooni haituhusu,amesema baby nipeleke chooni sasa ulitaka aseme baby nipileke nilalwe?we duwanzi kweli
 
Sasa mkuu usichoelewa nini hapo..kama anataka umpeleke chooni kwanini usimpeleke au huwa anakwambia kwa kijerumani...??
Labda mwenzia mfumo wa maji taka haufanyi kazi kwa amri zake...??
Ngoja mpaka siku ajinyee kitandani ndio utazidi kumshangaa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom