Hadithi: Judithi Millambo

Bemba

Senior Member
Jun 9, 2016
128
57
Ilianza Kama sinema judithi millambo alipopata bahati ya kuelekea nichini America kwajili y kusomea masomo ya muziki kutokana na kipaji alijo jaaliwa na Mwenyezi Mungu......
Ilkua n siku ya kongamano la vipaji lililo andaliwa n uongozi wa shule ya akina judithi kwaajil y kuibua vipaji lililo udhuliw n wageni mbali mbali wakiwemo wageni kutoka ubaloz wa marekani,Judithi akiwa n miongon mwa washiriki ktk kongamano hilo hapo ndipo Judithi alipo ibuka mshindi na kupewa zawad ya kuelekea nchin marekan pale atapo maliza masomo yke ykidato cha sita
Baada y Judithi kumaliza kidato cha sita utaratibu ulianza kufanyika ili aweze kuelekea Amerika,kidogo kidogo cku zikasogea n hatimaye cku ya safari ikawadia
Ilkua n cku ya furaha pia n huzuni pale Judith alipo iaga familia yke pamoja n mchumba wake Millan kwaajiri y kuanza safari cku iliyo fuatia,Judithi alipata Muda w kuongea n Millan n kumuaga kwa kipindi chote atakacho kua masomoni.Millan alidondosha machoz Judithi pia walkumbatiana na kukumbushana ahadi yao waliyo wekeana takriban miaka mitano iliyo pita kua hawata kutana kimwili hd Muda sahihi utakapo wadia ili kutunziana heshima iliyo kua Kati yao Judithi alimuomba Millan atunze ahadi yao yakua pamoja maisha yao yote Millan pia aliapa mbele y Judith ndivyo itakavyo kua


Asubuhi n mapema ndege aina y Emmilets iliacha aridhi y Tanzania na kukamata anga za kimataifa Judithi akiwa anabubujikwa n machozi y kuwaacha wapendwa wake alkua amefunga mkanda wake vizuri kabisa akiangalia mawingu n mandhar y anga.Hatimaye Judithi akafika nchin marekani n kupokelewa moja kwa moja Hd chuoni
Halkua jambo LA kushanganza ktk chuo hicho kupokea watu kutoka nchi mbali mbali kwaajri y masomo y muziki hivyo Judithi hakua mweusi pekeyke kwani pia kulkua n wamarekan weusi wengi ndan y chuo hicho.Masomo yakaanza maramoja masomo yaliyo kua yanamchukua Judithi miaka minne.ikiwa n wiki y kwanza kabisa judithi alituma ujumbe Tanzania kua alifika salama kwa njia u e-mail pia aliwatumia ndugu zake pia hakusita kumtumia mpenzi wake Millan ujumbe ulkua unasomeka hivi:
Millan Mpenz Wang najua umenimic Sana hata Mimi nmekukumbuka kupita maelezo nimefika salama tayari nmeshaanza masomo lakni jambo nnlalo kuhakikishia sitoweza kukusahau wala kuligawa penzi langu kwa MTU mwingine vile vile naomba utambue kua nitarejea ukiwa bado umenijaa moyon mwangu bila kupingua ila nakuimba usisahau ahadi yetu siwez kukichunga sababu Niko mbali Sana na wewe nakutakia mwanzo mwema ktk masomo y chuo kikuu utakayo yaanza...nakupenda Sana

Itaendeleaa.....
 
Sehem y pili
Nchini Tanzania Millan aliendelea n masomo huku akihakikisha usalama wa penzi lake hivyo alikua MTU wa tofauti Sana n wanafunzi wengine pale chuoni ukiwa n mwaka wake wa kwanza kabisa wa masomo y ngaz y juu.Alipenda zaid kujihusisha n maswala y kidini huku akijiunga n vikundi vya uimbaji pale chuni kwa lengo LA kumuenz mpenzi wake aliependa Sana kuimba wakati mwingi aljikuta akimkumbuka Sana mpenzi wake hyo hivo nkaona n vyema amuandikie ujumbe kwa njia y E-mail pia...
Judithi n Millan walendelea kuwasiliana huku Millan akimkumbusha Judy ahadi yao hatimaye mwaka wakwanza ukakatika cku zikazid kusonga,lakini mwaka huu uliofatia mawasiliano yalionekana kupungua huku Judy akidai masomo yana mbana pia talent show zlikua zimemzidia hivyo asingepata mda wakuwasiliàna mara kwa mara n Millan
Millan alielewa hivyo nae akazid kukaza buti katka masomo yke yaliyo husu mambo y biashara n uchumi mara nying akiwa anautumia Muda wake kukaa pekeake

Judithi n merry walkua wakikaa room moja katka jengo moja refu LA hostel za chuo kikuu cha marekani kinacho husu maswala y muziki Tayr merry n Judithi wamekwisha shibana vilivyo sababu kila mmoja alipenda mwenzie anavyo imba na kupangilia Sauti vilivyo lakini bado Merry alkubali kua Judithi alkua n mkali zaidi yke
Wawili hawa walipenda kukaa pamoja Muda mwingi n alipo kua Judithi Merry pia hakukosekana,mazoezin kwenye talent show na Muda wachakula pia walkua wote
 
Inaendelea wakuu Leo ntapost vipande viwili ondoen shaka
 
Inaendelea.....
Judithi kesho kutakua na tamasha la waimbaji bora walofanya vizur ktk mtihan wao wa kumaliza muhula wa masomo hivyo umechaguliwa kushiriki..,.principal Andrew alimtaarifu. Judithi ndan y office yke...

Ilkua n Muda ya saa mbili unusu ndani y chumba cha judithi akiwa n merry wanajiandaa kwaajir y tamasha judithi alivalia gauni lake lefu la usku lililo ng'aa na kumfanya aonekane mrembo wa kuvutia usku huo vivyo hivyo Merry alivaa kawaida tu sababu yy hakuhusika ktk tamasha hilo,alkua Kama mtazamaji tu.,..Muda ulipo timia Saa NNE usku tayar judithi n Merry walkua wamewasili ukumbini...hapo wakaachana judithi alipo elekea kwenye chumba cha maandaliz n Merry alikaa kwenye viti vya mbele kabisa ili aweze kumuona vizur juddy... Tamasha likaamza likiwa n shamla shamla za hapa n pale likiwa limehudhuriwa na watu wengi kuliko ilivo tarajiwa
Judithi ndie aliekua wa pili kuingia ukumbini n wimbo wake wa "no one will take my love for u" ulio wagusa n kuwafurahisha watu wengi Sana pale ukumbini sababu walio hudhuria wengi walkua n wapenzi Wao kadri wimbo ulivo endelea watu walizidi kupagawa kwa uzuri wa wimbo huo n sauti y kisura Huyo judithi iliyo weza kumtoa nyoka pangoni
Pemben y Merry alikaa mwanakaka Mike ...Muda wote alkua busy akimtazama judithi..., huku akionyesha dhahili kua mawazo yke yote yalitekwa n kisura Yule alie simama pale jukwaani akitumbuiza ....Merry NAE alkua amepagawa kwakushangilia n kutaja jina la judithi huku akisema"you're the best my friend.., ghafla Alishangaa akishikwa nega na mwanakaka alie kua pembeni yke huku akimuuliza kwa mshangao "do u know her??" Judithi akajibu "yeah she iz my class meant"
Judhi akiwa jukwaani akielekea kumaliza wimbo wake alishtushwa n mlio wa lisasi uliolia Mara mbili kwa mkupuo....ukumbi ukageuka uwanja wa liadha kila MTU alkua anakimbia kujihami watu wakapita huku n kule kujiokoa judithi akaachia maik nakuanza kushuka ngaz kumsaidia merry alie kua amedondoka chini akiugulia maumivu y kukanyagwa n watu alipo kua akitelemka gauni alilo kua amevaa lilikua refu mno viatu alivyo vaa pia vilkua virefu vikamfanya ateleze n kudondoka vibaya mno na kupoteza fahamu.....

Ameumia vibaya eneo la kisogo...inaonekana alivyo dondoka alibilingita kwenye ngazi hivyo eneo alilo angukia lilizid kuathirika hivyo hali yke sio nzuri tunahitaji kumfanyia upasuaji ili kuweza kumsaidia
Doctor aliendelea kwa sasa yuko chumba cha wagonjwa mahututi kesho asubuhi itabidi apatkane MTU wa kusain ili opareshen ifanyike kwajili y kunusuru maisha yke sababu ubongo wake umepata itirafu
Zilkua taarifa za huzuni n zakutisha kwa upande wa Merry ambae Muda wote alitokwa n machozi hivyo uongoz wa chuo ulianza utaratibu wa kufanya mawasiliano n wazazi wa Merry nchini Tanzania
 
Sehemu ya 4
"Nilkuambia mmewangu mwanetu asinde huko ona sasa matatizo yote haya yalo mkuta,kumbuka hatuna mtomto mwingine zaidi yke ebunambie tutafikaje uko kumfuata hzo pesa tutatoa wapi" alisema mama Judy huku akiskika kutoa kilio cha kwikwi...baba Judy aliekua pembeni alimtazama mkewake kwa huzuni Sana huku akijipanga kutoa majibu yatakayo mpooza mama Judy "mama Judy mkewangu sio Muda wakulia na kulaumiana n Muda wakutafuta muafaka wa hili tatizo chamsngi tumuombe Mungu atusaidie ktk jambo hili".....akaendelea " jambo linalo nipa tumain n nimepata taarifa kua uongoz wa chuo utàmpatia hifadhi mpaka pale tutakapopata taarifa anaendeleaje Kama atakua sawa ataendelea na masomo ikishindkana itabidi arudishwe Tanzania"....
Tayari familia ya Merry imesha Sain katika uongoz wa chuo kumchukua merry na kuishi nae mpaka atakapo kua sawa ama kurudi Tanzania..
Merry alionekana kuto kukumbuka chochote.Madaktari walieleza baada y Muda kumbukumbu zake zingerudi hivyo angekua sawa hiyo ilitokana na upasuaji walio ufanya ktk sehemu y kichwa...

Tukigeukia upande wa pili ulkua n mwaka mzima na miezi kadhaa Millan akiwa hajui chochote kinacho muhusu judithi mawasiliano Kati yao yalkua hayapo kwa Muda mrefu e-mail alizo zituma Millan hazikuweza kujibiwa...ulkua n mwakat mgumu Sana kwa Millan lkn alijipa moyo kwakukumbuka ahadi walizo wekeana na Judithi. Kunawakati ulifika akahisi kukata tamaa sababu ya sintofahamu iliyo kuwepo Kati y penzi hilo"Judithi amenisahau kabisa"alijikuta akiongea pekeake wakati mwingine pasipo kupata majibu.Millan hakua na mahusiano y karibu n ndugu wala familia y akina Judithi hakuifahamu vizuri hovyo akawa akipata wakati mgumu wa kupata taarifa zilizo muhusu judithi ila alijua atarudi hapo ndipo angeweza kupata majibu ya maswali yake

"Hunijui hata Mimi Judithi?!" Alkua n Merry akimuuliza Judithi alie onyesha kuto mfahamu Merry,ila kutokana na maelezo ya daktari Merry alianza kumfundisha Judithi baadhi y vitu ili kuweza kurudisha kumbukumbu za Judithi...



Je' Judithi atarudisha kumbukumbu zake na nini hatima ya maisha yake na penzi lake kwa Millan? Fuatilia hata Mimi cjui ila ni mtiririko wa mawazo na typng error kibao
 
Sehemu ya NNE
Millan alkua chumbani kwake akipanga mizigo yake kwajiri ya safari,alihitajika kufika Arusha wiki moja kabla ya mazoezi ya kazi kuanza,akiwa kwenye shughuli yake hiyo alikutana na albam yake ndogo alokua akiitumia wakati yupo shule. Mwanzo kabisa wa ukurasa wa album akakutana na sura nzuri ilo achia tabasamu pana katka picha moja wapo,haikua sura ya MTU mwingine ila Judith millambo "wewe tena" millan alijikuta akijisemea "umekua mwepesi wa kusahau ahadi zoote ulizo nipa umeona haitoshi ukaamua kukata mawasiliano na Mimi kabisa ili nikae mbali na maisha yako,ahsante Sana Judith nimekubali kuanza maisha mapya bila wewe,mwanzo nlidhani sitaweza ila imenilazim nianze" aliyamaliza maneno hayo akiwa amelowa machozi
Ben alie kua mlangoni akimtazama rafiki ake akamfata na kumshika bega "jikaze kaka wanaume hawalii" Ben alisema
"Hujui tu kaka,huyu mwanamke amenipotezea Muda Sana na Kama nlijua huko marekani asinge dhubutu kunikumbuka ila kwa maneno alo kua akinambia na kunipa ahadi nkajikuta nashawishika kumuamini lakin amenitupilia mbali nakunisahau" Millan alilalamika,huku rafiki ake Ben akiwa anamuonea huruma "huwezi jua kaka nini kilimkuta baada ya yeye kua amefika huko jaribu kuvuta subira usimuhukumu mapema"
"Mapema!!,mwaka wa tatu sasa unasema mapema" Millan alihamaki.
Asubuhi na mapema Millan alkua ndani ya basi akielekea mkoani Arusha ,akaamua ampigie mama yake simu lakini haikupatikana akamtumia ujumbe mfupi wa maneno kua atakua kazoezini kwa Muda wa miez miwili na baada ya hapo atakwenda nyumbani kwao mkoani Iringa kwa mapumziko
 
Judith alkua akiendelea vizuri kabisa baada ya kumbukumbu kurudi ingawa sio zote ila aliruhusiwa kuendelea na masomo.Taarifa zikawafikia wazazi wake wakazipokea kwa furaha
"Nitarejea nyumbani kwanza kabla yakuendelea na masomo siunajua nmenusurika kifo lazima nkamuone mama na baba" judith alimwambia Merry
Baada ya wiki mbili Judith alikua jijini Dar es salam,wazazi walkua nafuraha Sana kumuona Judith
Judith alipo jaribu kupiga simu ya Millan haikupatikana akaamua kwenda kwa mjomba wake Millan kumuulizia lakini hakufanikiwa kuwakuta aliambiwa walikwisha hamia Arusha...alipo jaribu kuwa tafuta marafiki zake Millan hakuwapata kwani wote walkua masomoni
Akafanikiwa kupata naomba ya simu ya junior aliekua rafiki wa Millan akati wapo shule lakini alidai kua amepoteza mawasiliano na Millan mwaka wa pili sasa
Judith akiwa amebakiwa na wiki moja tu arudi masomon alipata wazo LA kwenda Arusha kwa mjomba wake Millan baada ya kupata namba zake kwa najiran
Itaendelea..
 
Ningeliomba ukaitendee haki lugha yetu nzuri ya kiswahili kabla ya ku-post kwa kuihakiki kazi yako kwani inasomwa na watu wengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom