Realbest
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 812
- 301
Ninampenzi ambaye tume dumu nae kwa miaka mitatu sasa tangu tuna anza nae alikua kabinti simple, ametulia, mpole ana sifa zote za kuitwa mke, interval yangu na yake ni miaka 3.Wasiwasi wangu nikwamba nahisi kimaumbile anasonga zaidi yangu japo si sana na itakuaje atakapo kuwa mke rasmi kwamba appearance yetu itakuaje.
Please ushauri wako mwana jf
Please ushauri wako mwana jf