MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Hawa wenzetu huwa wanatabia fulani za kujifanya wastaarabu siku za kwanza lkn ukikaa nao muda ndo unajua tabia zao zikoje, mfano msichana siku ya kwanza unaweza mnunulia chipsi lakini atakula viazi viwili na soseji robo vingine vyote unamwaga hapo mzee mzima unaona umepata lkn akishazoea mlo mmoja pekee anakula chipsi,mishkaki,soseji,kuku mzima na bado anataka na maji ya baridi na usipokuwa makini bado atataka na pepsi,mweeeeh au unamtumia vocha na bado akitaka kuongea na wewe anakubeep nk.
Jamani hizi tabia za kujifanya wastaarabu kumbe sio wastaarabu sio nzuri ,badilikeni .
Sina nia mbaya hii ni ktk kuwekana sawa tu jamani ili tudumishe mahusiano no hard feeln
Jamani hizi tabia za kujifanya wastaarabu kumbe sio wastaarabu sio nzuri ,badilikeni .
Sina nia mbaya hii ni ktk kuwekana sawa tu jamani ili tudumishe mahusiano no hard feeln