Nani James
Member
- May 25, 2016
- 82
- 27
Title; SITOCHOKA KUMTAFUTA.(1)
Writer: James nyondo
Niasubuhi na mapema anaonekana binti akiwa anafanya usafi maeneo ya nyumbani kwao...akiwa anaendelea na usafi anatokea kijana mmoja aitwae Daniely, akiwa anapita zake anapata kumuona yule binti aitwae Edina..akiwa anaendelea na usafi ..ghafla anapara kutokee mama ake edina na macho take yanagongana na yule kijana....,hatimae daniely anaamua kuondoka na mama ake edina anapata kumpatia maagizo mwanae....
Daniely akiwa na wenzake kijiweni anazidi kuwasimulia juu ya yule binti na kwamba angependa kuwa nae kama mpenzi...lakini anakatishwa tamaa kwamba hana uwezo wa kuwa nae huku wakimcheka na maongezi mengine yakizidi kuendelea....
Edina akiwa katika shughuli za ununuaji wa mboga sokoni sehemu moja wapo anayo pata kuuliza bei ya mboga anakutana na yule kijana Daniely...akiwa ndie muuzaji...Daniely akiwa kashikilia mafungu mawili ya mboga huku na huku anabaki akimshangaa tuu yule mwanamke was kitajiri sana Edina...na kushindwa kumjibu bei ya mboga anabaki kumtazama tu Edina anashikwa na hasira na kuamua kuondoka zake...Daniely anabaki kujilaumu mwenyewe kwa ujinga alofonya na anajaribu kumkimbiria lakini hakumuona tena.. .
Akiwa kijiweni Daniely anapata kuwasimulia masela wake kilicho tokea sokoni lakini wenzake wanapata kumcheka tu na kuzidi kumkatisha tamaa kwamba kumpata itakuwa ndoto ya maiti kufufuka..na vibaya zaidi kafahamika kama ni muuza mbogo...kicheko zaid wanazidi kumcheka....na Daniely anazidi kuonekana kuwa ni mwenye huzuni tuu....
Daniely akiwa kachukua utulivu wa hali ya juu geto kwake ka vile ananyolewa na kuruta jeshini.. anaamua kijipa tizi la kwenda kumtongoza yule Dada.
In asubihi na mapema Daniely kawai nyumbani kwa kina edina tayari kwa kumtongoza daniely akiwa kajificha katika kona moja hivi akiwa tayari kumsubiri Edna atoke nje kufagia ili apate kumwwleza yanayo msibu moyoni mwake mda unazidi kujongea lakini yule binti hajapata kutokea ..Daniely anapata kumsubili hadi anachoka na kukata tamaa kwani mda wa sokoni ulikuwa ushapita ...anaamua kuondoka kwa hasira kuelekea sokoni....
Akiwa kakaa katika sehemu take ya kuuzia mboga mawazo na fikra nzito alonazo juu ya yule binti yanampelekea kuota ndoto za mchana sokoni tena akiota kwa sauti ...anapata kuota akiwa anamwambia edina yanayo msibu moyoni........( unajua Dada nimeona waziwazi mapenzi yangu yamedondokea kwako ..japo kuwa naona kutakuwa vikwazo vingi juu yako lakini naamin tutavishinda...in kweli Mimi in masikini wewe tajiri kwenu jua kwamba mapenzi hayachagui hali za kiuchumi ..tazama roho yangu Mimi daniely yaweza kupotea kwa kukukosa wewe tafadhali naomba uiokoe Edina ..nakupenda) akiwa anazidi kuota ndoto take iyo tena kwa sauti pale sokoni bahati nzuri au mbaya kumbe edina alikuwapo kwa pembeni na kupata kuyasikia Yale yote Daniely aloyapata kuyaongea katika ndoto nzima ...
Baada ya edina kupata kuyasikia yote Yale anaamua kuondoka haraka sana katika eneo like LA tukio kwa wasiwasi mkubwa....jamaa anapo pata kushtuka anakuta binti tayari kashaa ondoka na anajishtukia mwenyeny kama hakuna MTU alomsikia akiwa anaota...
Edina akiwa chumbani kwake anapata kuwaza na kuwazua juu ya mile kitendo alicho pata kukionyesha daniely Kule sokoni huku akiwa anajiuliza maswali mengi juu ya yule kijana kama anampenda kweli au anapodoa tuu...isije ikawa in ndoto tu ilimpitia ....Saudi ya mama yake inasikika ikimuita lakini wala hasikii kutokana na kuwa katika mawazo mazito alonayo...........
Wanaonekana vijana takribani watatu wakiwa wanapiga stories za hapa na pale mbele yao anapata kutokea binti mrembo akitembea kwa madahaa...eeeee waa ni binti was kisasa kweli anavutia....anaitwa Seviana.wale vijana wote wanabaki kumkodolea jicho LA kumuodo flani ivi....na mmoja wao aitwae James anaamua kumfuata na kuuanza kumpigisha stories mbili tatu za ujana ....na hatimae kumuomba namba ya simu
Daniely akiwa katika sehemu yakee ya kuuzia mboga anatokea edina na kumsalimia kwa furaha tele isiyo kawaida lakini daniely alibaki mwenye kushangaa tuu na kustaajabu tabasamu analolionyesha yule binti edina ambalo sio kawaida yake ...edina ananza kujichambulia mboga na anapata kumpa sh.10000 lakini daniely akiwa katika harakati za kutoa chenji edina anamwambia kuwa hiyo ni
zawadi yake
James akiwa chumbani kwake anaamua kumpigia simu seviana na kuanza kumueleza vile anavojisikia zidi yake .....na kuanza kumwambia kama ametokea kumpenda sana kwa mshangao mkubwa anapata kukubaliwa na anaonekana kuwa mwenye furaha zaidi snarukaruka kitandani............
Daniely akiwa njiani anawaza na kuwazua jinsi gani ataweza kumwambia ukweli edina na hatimae anaamua kujitoa muhanga na kwenda moja kwa moja had nyumbani kwao . ...akiwa njiani anashangaa kukutana na edina njiani na edina kuanza kumuuliza maswali daniely kwa mini hajaenda sokoni kasababisha mpaka kanunua mboga asizo zitaka bila kuchelewa daniely kachukua nafasi ileile kuanza kumweleza yanayomsibu moyoni mwake....waswahili wanasema steering asije akafia mwenye maua na wengine wanasema one mistake one goal..........&&%#$?????
Swali language na lako he edina atasema nn na nn kitaendelea ......embu fuatilia kipannde cha pili kinacho fuata cha hii story iitwayo SITOCHOKA KUMTAFUTA........ by Mimi mwenyewe James nyondo....0762711545.
https://mobile.facebook.com/James-Nyondo-stories-219395341729139/
IYO LINK ITAKUPELEKA MOJA KWA MOJA KWENYE HIYO PAGE USISAHAU KULIKE