manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 683
Nakumbuka kipindi kile nakunywa pombe, sasa kila nikienda home tukilala anageukia ukutani. Nikaja muuliza why akajibu nilikua namkwaza na harufu ya pombe.
Sasa unakuta mtu anatumia konyagi au pombe za kienyeji, ugoro, mirungi, nk Akienda kwa msichana wake alale nae daa! Kiukweli wanawake ni wavumilivu, halafu unakuta jamaa anataka denda hapo na ujuavyo stimu za konyagi mirungi ugoro kukojoa huwa ni shida.
Kiukweli wasichana ni wavumilivu ndiyo maana asubuhi usipomtoa hela huwa wananuna. Hongereni dada zangu kwa uvumilivu pia wa kuvumilia maukuni ya nguvu na harufu ya pombe ugoro mirungi nk.