SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
Wapendwa mabibi na mabwana naomba mnisaidie hii kitu kidogo. Unajuana na msichana either uliwahi kukutana nae or mmejuana through someone hamjawahi kuonana mpo mbali kidogo. Kati yenu ndio kwanza kuna dalili za kutaka kuanzisha uhusiano halafu unaanza kuombwa hela kwamba
samahani nina shida fulani naomba nisaidie shilingi kadhaa. Huyo msichana anakua na maana gani?
Nasema hivi maana mi sijui nawaoneaga sana au ni nunda maana nikishaona hizo msg ushetani unaniingiaga hapohapo siwazungukagi nawaambiaga ukweli then communication nao naipoteza kwa sababu huwa naishiwa kabisa hamu na huyo mtu.
Sasa hio ni sawa?