karim02
Member
- Apr 25, 2016
- 64
- 40
Bila shaka mko poa wakuu.
Ni miezi kadhaa imepita tangu nilivoanzisha mahusiano na girlfriend wangu, ila kuna jambo limekuwa linaniumiza kichwa na kushindwa kuelewa nifanye nini.
Kila ninapohitaji kuonana nae ili nibadilishane nae mawazo ananipa vikwazo vingi mara nimechoka, sina muda, nina kazi nyingi n.k.
Ila anapohitaji kitu nikimwambia njoo tuonane anakuja haraka.
Naombeni ushauri wenu pls.