markbusega
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 826
- 846
Habari za wakati huu wakuu!
Ni hivi,baada kuona mshahara anaopata alipo ni wa kijungu jiko tulipatana na mchumba Wangu kwamba baada ya kufunga ndoa angehamia niliko
tuishi pamoja huku akifanya biashara ndogondogo ilimradi anapata chochote huku akisaka ajira gvt,
Sasa anaona aendelee na ajira yake tu alipo .sababu anayoto ni kwamba mshahara umeongezeka .yeye ni mwajiriwa katika sekta binafsi na tuko mikoa tofauti kufika sehemu alipo Mimi hunichukua siku mbili na Mimi uwezekano wa kuhama kumfuata ni Mdogo
Nina mwezi mmoja tu kila mwaka wa likizo yeye anaweza kupata miezi miwili kwa mwaka lakini ktk vipindi tofauti.
Yeye kuendelea na ajira yake kwa sababu alizotoa nakubaliana nazo sababu ndio malengo yake tangu akiwa chuo na pia anaweza kuwa msaada mambo yangu yakienda ndivyo sivyo ya Mungu mengi.tatizo ni long distance relationship.Naomba ushauri wenu ,au naomba tushare uzoefu wenu mmewezaje Ku cope na long distance relationship na wenza wenu wasiwasi Wangu mkubwa tutapateje mtoto?hata ule mchezo naupenda kuucheza hata kama ni kila siku naweza.
Naomba ushauri wadau tar ya ndoa ishapangwa ni mwezi ujao nasikuwa nimejiandaa kwa hali kama hii. Nawasilisha