Ushauri: Mpenzi ananipenda ila anavuta bangi

kwasukwasu

Senior Member
Jun 15, 2016
120
134
Niliumizwa sana na mapenzi katika maisha yangu, lakini akaja kutokea mkaka mmoja nikampenda, naye akanipenda, akanifanya nisahau maumivu yote niliyopitia, tatizo huyu mpenzi wangu anavuta sana bangi mpaka naogopa, ila kiukweli ndiye mwanaume pekee aliyenifanya nifurahie mahusiano.

Nifanyeje maana nimemshauri kuacha bangi hataki.
 
1466151824167.jpg
 
Bange ndizo zinazo mpa ujemedari uwanjanii,
Kabla ajavuta anasema, bangi nibangue K inikome
Sasa hapo ndipo akiwa uwanjani anatambaa pembezoni akirudi kati anapga mtaambaa wa panya kisha anarudsha mashambulizi nyuma kuanza mwanzo, akirudi kati wayaaaa
Hahahahaha some fellas can be very funny though there might be truth on this.
 
Sioni ubaya wowote ni uraibu wa mtu tu kama pombe au sigara. We mkazanie awe anajiweka safi ili ile harufu isikukere. Mi mfano nimeanza kuvuta nikiwa school na mpaka sasa ila nafanya kwa siri sana. Ila navuta pale nnapokuwa natafakari jambo fulani na imekuwa ikinisaidia kwa namna moja ama nyingine.
 
Bangi haina madhara mamy, ndo maana hata haijaandikwa onyo: uvutaji wa bangi hatari kwa afya yako
Ila kitu sigara tu ndo yenye onyo!!! Hahaha ila kama anaona utumiaji wa bangi kwa mpenziwe hauathiri lolote kwanini ahangaishe kichwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom