Ukiachana na mpenzi wako kuna haja pia ya ndugu zako kusitisha mawasilianao naye?

nyamalagala

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
744
673
Natumai mu wazima was afya.
Katika kusikiliza power breakfast nikasikia mjadala uliokuwepo kati ya babra,kipanya,na fredwaa.kulikuwa na mjadala kuhusubkuachwa.je kuna uhalali wowote wa kumchukia ndugu yako anayeendeleza mawasiliano ya karibu na ex wako(mme,mke,mpenzi au mchumba)?.je wewe kuachana na MTU wako ndio upige marufuku mawasiliano yote ya ndugu zako na matalaka wako
Wewe unasemaje kama yakikukuta?.
Naomba kuwasilisha.
 
Ur side of ur business is done. Simply mind ur own bizness.

Kama ulimpenda mtu kwa dhati nd u were there to stay kwa kiasi flan itakuuma sanaa..but stay calm mbona ma shawry wa ukweli wako kibao tu sometimes much better than ur past (tembea viwanja vyenye hadhi wapo wengi tu). My Ex at one time she meant a lot but Psssh.....its been ages since i last thought about her.

Experience makes u wiser, Open ur heart for a new love (Know ur Standards).
 
Very Well Narrated......
 
Sio lazima..Japo ndugu wanatakiwa kupima sababu za nyie kuachana..Haiwezekani niachane na mwanamke ambaye alikuwa pasua kichwa hasa,halafu ndugu zangu waendelee kuwa na mahusiano nae ya karibu..Ntawashangaa
 
Ndio maana yake sasa mimi na yeye tumeachana na mimi ndiye niliyekuwa kiunganishi wao wanaongea nn tena??
 
Sio lazima..Japo ndugu wanatakiwa kupima sababu za nyie kuachana..Haiwezekani niachane na mwanamke ambaye alikuwa pasua kichwa hasa,halafu ndugu zangu waendelee kuwa na mahusiano nae ya karibu..Ntawashangaa
Kwani ndugu zako wote ni wastaarabu. Inawezekana pia katika ndugu zako wapo pasua kichwa watakaoendana tabia na X wako na wakapendana Hata Baada ya wewe kuachana naye.
 
Hao watakuwa ndugu zake..sio wangu
 
Natumai mu wazima was afya.
Katika kusikiliza power breakfast nikasikia mjadala uliokuwepo kati ya babra,kipanya,na fredwaa.kulikuwa na mjadala kuhusubkuachwa.je kuna uhalali wowote wa kumchukia ndugu yako anayeendeleza mawasiliano ya karibu na ex wako(mme,mke,mpenzi au mchumba)?.je wewe kuachana na MTU wako ndio upige marufuku mawasiliano yote ya ndugu zako na matalaka wako
Wewe unasemaje kama yakikukuta?.
Naomba kuwasilisha.
nauliza tu!; jee Dada yako akiachwa kwa mini ung'ang'anie kukaa kwa xshemejio?
 
Kuendelea au kutoendelea kwa mahusiano kati ya ndugu na ex, kutategemea utashi na uhusiano baina ya pande mbili. Your kin folks and patner could have a connection stronger than the one you have with both sides. Would I mind? Itategemea na mazingira na sababu tuliyoachania.
 
Hiyo inategemea mumeachana ktk mazingira gani.
Kuna mazingira ambayo ni forsaken na Kuna mazingira ambayo ni kwa wema.
Lakini kwa yote u have to look ahead
 
Kaka yangu aliachana na mke wake lakin hadi kesho tunaendelea kuwasiliana na ex mke wake.kuacha kwao hakutuhusu as far as alikua mwema kwetu
 
It's upon the nduguz to weigh up their actions, ila mimi X wa zangu yangu sio vizuri kuendelea na mawasiliano nao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom