kichekoh
JF-Expert Member
- Sep 19, 2015
- 1,376
- 1,479
Huwa inanishangaza kwa kweli, matumiz ya tende mwez wa Ramadhan ni maradufu kulinganisha na miezi mingine. Huwa najiuliza hizi tende ni maalum wa Ramadhan tuu? au mwez huu huongezeka virutubisho? kwan mazoea ya kula tende hutujia kipindi cha mfungo tu? au zao la mtende huvunwa kwa wingi mwez wa Ramadhan? naomben majibu.