MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Wanawake huwa wana njia nyingi sana za kuonesha kama wamemzimia mwanaume,nadhani hii inatokana na utamaduni wetu wa wanawake kushindwa kuwaambia ukweli wanaume wanaowapenda,huu utamaduni sio mzuri kabisa.Basi kuna huyu msichana najua ananipenda lkn inampa wakati mgumu kuelezea hisia zake mpaka anaamua kufanya vitu ambavyo vinanipa wakati mgumu.
Ni kama mwezi sasa kila akiniona huwa ananiangalia vibaya halafu anatema mate chini,wadau msaada wenu,je hizi ni hisia za pendo lake kwangu, je na mimi nikiwa namuona niwe natema mate ili kuonesha na mimi namuelewa?
Natanguliza shukrani,utani weka pembeni kwenye suala la msingi.