Nzi Chuma
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 472
- 1,142
Habri za Jumapili wanaMMU..
Ni muda mrefu sijashiriki hapa kuwaletea mavisa niliyokumbana nayo nimekua msomaji tu.. Labda kwa sababu ya hii "Hapa kazi tu" ya awamu ya bro..
Wiki iliyopita bana, nilikutana na dada mmoja katika harakati zangu za kimjini, amepigilia vizuri tu, akiwa ndani ya swaumu zile za mwisho mwisho. Ilikua ni ndani ya benki moja hapa mjini.
Nilimuona anashangaashangaa na kuzunguka zunguka mle benki, nkamuita..
"Nini tatizo dada?" Nkamuuliza maana tayari macho yangu yalishavutiwa, japo nilikua na swaum mimi mwenyewe..(swaum bila vishawishi haikamiliki).
"Nimepoteza simu, sijui nimeiacha wapi!"
Baada ya kunijibu vile nikataharuki na kuanza kufuatana nae kuripoti lile tukio kwa walinzi na mameneja wa pale.
Mimi nilionekana kuwa na wasiwasi zaidi kuliko yeye...
Nilijaribu kuipigia simu yake mara kadhaa.. Ilikua inaita tu.. Haipokelewi.
Baadae akaonekana kukata tamaa, ila mimi nilizidi kumpa moyo, na kuendelea kuhangaika kutafuta. Zoezi hili lilinipotezea kijimda kidogo,muda huu nilikua nimetoka katik foleni kwani niliondoka kwenye foleni yangu nika'mark' mtu wa mbele yang.
Muda huu sasa nikawa nimefikiwa. Nikasogea kwenye foleni na kumuacha yule dada bado anashangaa pale..
Akanipiga jicho la wizi na kutoa simu kwenye mkoba na nikamuona kama anaificha ficha hivii... Hisia zangu zikanituma kama vile amesave namba yangu hivii..(kumbuka nilimpgia). Hakuchukua muda akasepa.
Nakatisha story...
Alifika hom akanipgia kuwa ameiona simu yake, kumbe alikua ameiacha hom..na akaniomba nisave namba yake..
Tukachat siku mbili,Akaniuliza ninafanyia wapi kazi.. Nikamwmbia.. akaniuliza kama nina familia(nimeoa) nikamwmbia "yes". Akaniuliza ni muda gani niko kwenye ndoa.. Nikamwambia 4 years..
Akaniuliza kama nina mtoto, nikamwmbia " Hapana, sijabahatika bado, nahisi mke wngu ana tatizo". Alionesha kunionea hruma sana kwa jambo hili (japo nilimdanganya kuwa sina mtoto, ukweli ni kuwa nina mtoto mmoja).
Kwa upande wake akasema ana mtoto mmoja ila hajaolewa.
Nikamtania...
"Kama unanionea huruma sana naomba basi unizalie mtoto mmoja" . Akakubali ombi langu.
Baada ya msg yangu hiyo.. Siku hiyo sikulala vizuri na mke wngu kwa sababu ya cols na sms zake.. Kulipokucha tu... Akaandika msg hii..
"Baby, naona aibu kukwambia kitu.." Nkamwmbia we sema tu...Akafungukaa..
"Naomba uniazime elf 50 nitakurudishia next week..... Bla bla blaaa..."
Mimi nikamjibu hiviii...
"Nimekuelewa sana, kama ulivyonielewa mimi haraka na kuamua kunizalia mtoto".
Jamaniiiii...
Ni nini hiki nyie wadada?! Maisha haya yamekua tight sana, msifanye hivi.. Yaan kukuona mara moja na kuchat na mimi na kunitumia vipicha vyako vya whatsap unafikiri ndo umemaliza kazi na unadeserve 50 yangu?!
Nani aliyesema mwanamke anarudishaga hela ya mwanaume hadi utumie neno " niazime?"
"Wanaume wanapenda zaidi kuona, wanawake ndio wanaopenda kusikia.."
Jumapil njema bana...
.. .,...