Dada zetu tazameni shepu zenu ndio mvae baadhi ya nguo

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,348
1,803
Ni kweli mke mwema hutoka kwa Mungu na uzuri wa mwanamke ni tabia na sio sura wala shape ila wakati mwingine unaweza ukapindisha maneno na vifungu ili kuweza utendea haki moyo wako.

Dear Sister tizameni shape zenu ndio mvae hivyo vi skin jeans vyenu,kuna shape za kuvaa madera ambazo haziruhusiwi kuvaa skin jeans,wengi wanapenda kuvaa skin jeans ila madela ndio nguo zao stahiki.

Madera yamebeba siri nzito sana na hasa wakiyavua hali huwa ndio kama ilivyo pichani.I like fat people more than I like thin people, things are always a lot more funnier when they happen to fat people.
1468491403574.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom