Je, ni kweli kuwa ni vidumu kwa mwanaune kupata mpenzi, na ni jambo rahisi kwa mwanamke?

lil wayne

JF-Expert Member
Apr 15, 2016
992
904
Mfano:

Kwenye sherehe!
Mwanamke ananyanyuka na kusema, Mtu yeyote anayetaka kuwa mpenzi wangu anyooshe mkono. Wanaume 5 wakanyoosha mkono!

Mwanaune aliposema kuwa kama kuna mwanamke yeyote ambaye angependa kuwa mpenzi wake, Hakuna aliyenyoosha mkono.

Ukiondoa madhanio kuwa Mwanaune/Mwanamke ni Handsome/Beautiful.
 
1468753433556.jpg
 
Back
Top Bottom