Wasichana msiposhituka mtazeekea makwenu

chanawaleti

Senior Member
Jul 4, 2016
176
209
Ni ukweli usiopingika wasichana wengi mtaolewa na bodaboda, wafanyabiashara, wanasiasa nk. Maana mkitegemea vijana wa chuo umri unaenda maana mpaka amalize chuo apate ajira ajipange na hizi ajira zinavyosumbua mnashida kwani mwanamke ukianza kuvuka 25" kuolewa kwa manati ukifiisha 30 daa! Labda ujizalie tu, shitukeni kina dada hao masharaboro wa chuo si waoaji kabisa ni wachezeaji mtaishia kumegwa.
 
Too judgmental.

But I get it.

Everyone is entitled to their own fiction, hallucination, imagination, and most importantly, opinion.

So to each his/her own.
 
Uko dunia gani wewe nani anayewaza kuolewa kwa sasa kila mtu yupo bize na maisha yake.wapo wanaume siotaka kuona wanahitaji tu wapete watoto na pia wapo wanawake wasiotaka kuolewa wanahitaji tu watoto
 
Acha uongo
 
Back
Top Bottom