maisha kama jela: tunafanyaje hapa washikaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maisha kama jela: tunafanyaje hapa washikaji?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kweleakwelea, Apr 1, 2012.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  hi all!!

  mimi ni mtu wa makamo, professional nakimbilia 40 yrs old...nimeoa, baba wa mabinti watatu..mke wangu naye ni 2 yrs younger ...professional...but somehow possesive

  tulikutana chuo, tunakwenda vizuri tunapopanga na kutekeleza mambo...kiujumla Mungu anatutetea....

  ila jambo moja tu!! mimi background yangu ni mtu wa clubbing...sina starehe nyingine yoyote zaidi ya kutafuta club nzuri yenye DJ mzuri ....na kukaa nyuma ya spika nikifyonza taskabaridiiiiii.....

  mama watoto yeye ni mwanamaombi, na hajakulia mambo ya club...nice mother though...yeye na club ni kama simba na swala.....pia hupata stories kuwa klab ni full kujiachia...toto za kumwaga...

  mimi huwa niko komited sana na kazi na resources zangu...niko kwenye public na business affairs up to saa 2 usiku.....natake sometimes kusupervise private enterprises...this means kuwa napata muda at most kuanzia saa 5 usiku kila siku.....na huu ndio muda wangu wa kuanza kula bata!

  shida ni kuwa nikienda klab nikirudi usiku mama ndio hufungua gate....ina maana hata vijana hilo hawafanyi....halafu nakuta macho yake yamevimba kama ngumi...anasema anashindwa kupata usingizi.....

  hii imenifanya nishindwe kufurahia maisha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!yaani kwenda klab hadi nisafiri...huko tena inaweza kunicost nikashindwa kupafom vyema.......

  nifanyaje mwenzenu?? maana najaribu hata kufosi kushangilia mpira wa man u lakini haupandi kabisaaaaaaaaaaa???

  ukiniangalia nianza kubehave na kufanana na fifteen years older!!!! wajameni hapo tunafanyaje?
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ongea nae tu ataelewa
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  sidhani tatizo ni kwenda club, bali unaenda club mara ngapi kwa wiki?
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  wekeni karata zenu mezani, discuss it na kila mmoja akubali ku-compromise kidogo na kum-accommodate mwenzake bila kuathiri mambo ya msingi mnayoyaamini as a couple..
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  at 40 bado unaenda club???totaly irensponsible.....
  badala ya kutafuta muda uspend na familia yako.....???
  acha umeshakua,
  ukitaka kuacha utaacha tu....
  find new hobby ambayo itakufanya uspend time na familia yako....kama swimming mnaweza kwenda na watoto wakajifunza,,,,,,
  kama ni mziki,nunua speaker weka nyumbani...sikiliza nyumbani
   
 6. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  i think hili ni la msingi... tuliishawahi kudiscuss akasema yeye hana tatizo.... ni mimi tu huwa ninajistukia kuwa ninamkeep sana macho na labda kuathiri shughuli zake za siku ifuatayo......nilijitahidi kuwa naenda at least once a month.....

  hata hivyo nadhani kuwa bado napaswa kutii kiu ya roho... i have to have the outdoor at club at least once or twice amonth!
   
 7. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  kha neema!sio kwamba siwapi muda.......mie nalilia outdoor yangu at least twice a month! nafanya kazi sana ili waishi maisha bye....sasa utartibu wanaotaka kunpeleka nao naona ntakufa kabla ya siku???

  kwani neema unadhani kwanini wanaume tunaishi maisha mafupi?
   
 8. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  actually once i decided to go out once or twice a month..i think i have to resume that!!!

  i have tried to pose a bit distance thus she is learning to do herself at sometimes...eg concetrating more on work....and to courage her to concetrate on hers.... then i will get thatt back in the rail...
   
 9. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Chukua radio weka cd na sauti kubwa club yako iwe home. Huyo mwanamaombi akilalamika kelele omba ruksa ndo uzime mziki.
   
 10. c

  charndams JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  delegate duties, sio lazima usupervise wewe, yes life begins at 40, that means ushauri unaoomba huendani na wewe. at 40 you should learn to maintain checks and balances brother.
   
 11. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160

  RED
  -kimsingi ukioa na kuwa na watoto hao wote umepewa wewe uwatunze kwa hiyo kuna baadhi ya interest zao inabidi uzilay aside for them kwa sababu za heshima, maadili, uleaji(inaonyesha we kifinance ni mpiganaji lakini this world is much bigger than money come on, si umeshaona hilo?) n.k n.k - hata hivyo umri umeshaenda mzee, kwani hata club kupata wazima wenzio si kazi?
  GREEN-Kaa chini ujiulize ni kwasababu gani familia yako ina ulinzi wa Mungu na nyingine hazina(wewe ni bora kuliko pet cash na fedha zake chache?).
  BLUE- Hapo mwenyewe umeshasema club inakuharibia mambo yako. Huu ni ushahidi tuliouona na hakuna mkono wa mama watoto hapo?

  ADVICE- achana na clubing, nunua headphones, redion yenye 3D sound ukasikilize chumbani na yf kwa sababu umesema hakuna cha zaidi club ni muziki tu...
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Pole kwako na kwa mkeo.

  Kwa mtu ambaye hajakulia maisha ya clubbing, ni ngumu sana kuyaelewa, ila anakucha ufanye sababu ni uamuzi wako na starehe yako.

  Kwa wewe nawe hadi kuleta hapa, ni kwamba unajali hisia za mkeo ila ni almost addict wa club, pole kw hilo.

  Ni kweli, wewe unatakiwa kuwa baba wa familia na available, a the same time you live once, una haki ya wewe kuinjoy na kile kinachokufurahisha. Tatizo naloona hujajua jinsi ya kubalansi muda wako ili usi-feel guility.

  Jaribu kuwahi kutoka kazini, kazi huwa haziishi na pesa huwa haikinai, ni wewe kujifunza kuwa na kiasi na kuweka priority zako. Kati ya pesa na familia nani ana priority kubwa zaidi?? Ajiri watu wakusaidie kazi za ziada na wewe simamia yale majukumu makubwa usioweza kudelegate.

  Ukiweza ipa familia priority kwa kuwahi kurudi hizi siku za wiki na kukaa nao, siku unatoka kwenda club labda unatoka Ijumaaau Jumamosi hata kama utarudi late, mke atafungua na kesho yake haendi kazini maana ni week end. Tena kama unatoka mara mbili/moja kwa mwezi lazima atakuelewa ila na wewe onesha effort ya kwamba unajitahidi kuwa available kwa familia.

  Siwezi imagine naishi na mtu anayependa kwenda club, nafariki kidogo kidogo.
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  bora huyo 40 halafu mwanaume, kuna siku club nimekuta mbibi huyo! We acha tu.
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Haya mambo inabidi kuwekana sawa kabla hamjaingia kwenye ndoa. Shauriana na mkeo mfanye nini hapo. Kama vipi jivutie zako sabufa la kichina uwe unakula mziki kwako.
   
 15. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tafuta automatic lock ukirudi usimkere mama!
   
 16. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  this is a very good advice... i am going to take this sir!
   
 17. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  kwenye blue...inaniharibia kwa sababu ninacheza mziki mpaka kunakucha halafu nasinzia kikaoni.....si unajua ndama akifunguliwa...
   
 18. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2016
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,310
  Trophy Points: 280
  Ukifungulia sub woofer loudly anasema. Unamwamsha mtoto!!inabidi uizime. Na upotee.
   
Loading...