lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,161
Igweeeee!!
Dude hilo LOADING SAA 4 KAMILI USIKUUU HUUUU. Mtoto hatumwi dukaniiii. Pikeni mapemaaaaaaaa. Wake za watu la kwenu hiliiiii, special for you.
Najinyoosha kwanza hapa, kuna mtu kajitolea kuandika, mi nasimulia tu. Ndo tunaenda nae mdogo mdogo.
SAA 4 JUU YA ALAMA.
==================
Sophy we need to talk! Sophy akashangaa ujio huu wa juu na haraka wa shoga ake, akawaza tu siku ya kusutwa ndo imefika, akawa hana uhakika ni kwa umbea upi haswaaa. Akawa anababaika tu rohoni asijue anasutwa kwa lipi. Ikabidi tu amwambie naomba nipe 15 minutes nakuja twende mahali tuongee vizuri.
Akiwa anakabidhi kitengo kwa hiz dakika ambazo hatakuwepo akaanza nae kuwashika ugoni mashosti kadhaaa, kwamba wameuza CD kwa Monnie. Kila mtu akakanusha kuhusika na uuzaji wa cd hio kokote. Akawauliza mara kumi kumi hamja mpa kweli nyie ile niliona gari ya mumewe guest ya Mbezi Kimara huko imepaki? Wakamuhakikishia hamna kitu kama hiko, kila mmoja akadai kama Monnie kajua basi wao hawahusiki na uuzaji wa cd hio kwa namna yoyote ile. Akakaza nafsi.
Akamwambia tayari twende. Akamuagizia mtori na chapati mbili walau vimpozee nafsi asichambe sanaa, maana anajua bibie Monnie kwa kuchamba wima wima hana mpinzani. Sio tu atakuchamba, atakukogesha kabisaaa na kukusugua magaga. Mmmmmmh! Leo alikuwa nalo sio dogo. Akajipozisha kwanza kama kasahau minajili ya kikao kile cha dharura.
Monnie akaanza kuvunja ukimya, bwana Sophy mimi nilivosikia nikaona nikwambie tu, sitopenda usikie sehemu nyingine, afu uje kujua na mie najua, au nilikuwa najua kitambo sijakwambia no! Mimi na wewe tumetoka mbali si kidogooo. Na watu wote wanajua sema wanakuchora tu, maana nimemshirikisha Solana akadai yeye alishajua sema aliogopa kusutwa, Nimemshirikisha Zabibu nae akadai alisikia fununu fununu, Nimemshirikisha Morin nae akasema hivo hivo taarifa za chini ya kapeti ashazipata, and that is the whole crew. Sasa mimi kama wewe ungejua maybe inanihusu mimi ningependa uniambie ndo maana nakwambia.
Sophhy akafanya huuuuuuuuuuuuuu, walau sio msuto, hilo jambo linaonekana zito sanaaa, ila anyway maadamu hasuti siku hio, she was happy. Mmmbea kusutwa sunna, so hata kama asiposutwa siku hio atasutwa zijazooo. Akawa katega sikio kwa makini asikilize hilo jambo lilianza kwa risala nefu sanaaa. Na akashagaa mashosti wale wanajua, wakati anawavijishia cd za watu hata kungata sikio, shoga cd yako hii hapa inazunguka mtaaani! Kimyaaaaaaaaa! Akamjibu tu Monnie, "Nambie Monica nakusikiliza"
Monnica akajizoa zoa akamwambia "Sophy your husband is seeing someone, and that someone is Sonia wa pale ofisini kwetu." Akawa anamsikiliza Sophy kama atakuwa na la kuchangia ama vipi. Sophy akawa katoa mijichooooo kama kabanwa na mlango. Monica akaendelea. "Well ushahidi upo umejitosheleza, leo nimeshoka simu ya Radhia pale ofisini alikuwa ananionesha danga lake jipya, sasa ilikuwa profile picture, wakati nimemaliza kuiangalia nikarudi inbox whatsup ya Radhia, kurudi hivi nikaona chat convo ya Sonia, sasa watu wanadai Sonia anatoka na boss, uroho tu wa ubuyuu ukanikumba nikajikuta naifungua, ndo nikakuta Sonia anamwambia Radhia last week alikuwa Mombasa na Shoo wa EWURA. Sasa hio coincidence ya Shoo wa EWURA ndo ikanivurugaa maana najua shoga mumeo anaitwa Shoo, na anafanya EWURA. Nikaanza kumchimba Radhia kwa akili ndo akanimegea details kuwa ni kitambo mbonaaaa. Nikamuhadaa mpaka akanionesha picha za Mombasa. Ni yeye shoga angu!
Hizi hapa eeeee! Sophy akatizama ile simu, akameza mate maana koo lilikuwa limemkakuka si kidogo. Na kilichomlegeza huyo Sonia ni kituuuuuuu cha balaaaaa. Akamuuliza Monnie kwa hio wengine wewe ndo umewaambia hii ishu au wamejuaje juaje? Monnie akamwambia Solana yeye anadai kuna siku alikuwa na kingasti kule Bahari beach, mda wa kazi mchana saa 7, akabambana nao uso kwa uso Shoo akiwa mwanamke mwingine wanatoka room, nae Solana alikuwa anatoka room na dogo dogo. Wakakaushiana kimyaaa. Akashindwa kukwambia sababu Shoo nae angemwambia mumewe. Na Shoo alijiongeza kiume, maana si unajua Solana ile biashara yake ya usafi wa maofisini, kama in 2 days akapigiwa na mkaka akachukue contract Masaki ofisi ya wazungu, kusafisha, amekuwa recomended na Shoo, kiutu uzima akajua tu Shoo anataka kumziba mdomo. Well nae akazibika mdomo ila najua ndo aliouza CD kwenye group.
Sophy akachoka mwili na rohooooo. Monnie akaendelea kummpa wosia, shoga uwe macho, Sonia malaya mbwaa, anawapangaaaa. Sio sehemu salama kabisaaa. Mimi ningemtenga chumba leo leo. Sio tabia nzuri kabisaa, mtu mna watoto wa 3 anahangaika nini Shoo nae kiruuuuuuuuu. Mchaga gani boyaaa, wenzie wanatafuta magorofa, yeye anatafuta ukimwi mjini hapa. Na kwa Sonia pale kaupata mbonaaa. Yaani mimi nashukuru mume wangu sio muhangaikaji angekuwa muhangaikaji angenitambuaaaaa.
Sophy akamkatisha, kabla ya yote Monnie fanya kunirushia hizo picha, pleaseee. Monnie akamrushia zote. Sophy akamwambia nimekumbuka shoga angu, speaking of your husband, kuna siku niliona gari yake imepaki guest Mbezi ya Kimara mida ya mchana saa 5. Afu sehemu yenyewe ndani ndani, mwenyewe nilienda kuzika. Nikaona niipige picha kabisaaa. Incase nimekosea plate numbers, Nikaja kulinganisha ni zenywe kabisaaa. Monicca akapanic, liniiiii, nambie liniiiiii! Sophy akamwambia sikumbuki but picha yenyewe hii hapa, Monicca akaichukua akaisoma tarehe ilipigwa ikawa saved lini, akaandika kwenye ki note book. Akawa anatweta sasa kwa hasira.
Sopphy akaona keshalikoroga, ikabidi ampozee, "Shoga mie niliona gari tuuu, ukute alienda garage mafundi hawaaa, akaona akapige nalo shoo ya kibabe, mbona ushahidi dhaifu kabisaaa shoga angu, mie mpaka kuna pichaaa, na ashaonwa anatoka hoteli na bado sijapanic kumuuliza ndo kwanza nakusanya ushahidi shoga angu, i will with hold evidence until it is enough to convict. Sitaki kukurupuk ukimuwekea mezani anarukaaa, au ndo anafukia mashimooo, mimi im taking my time, nakusanya ushahidi wa kujitoshelezaaa, siku nikimpandishia majoka hachomokiiiiii, sasa shoga gari tu kuonekana, pressure inakupanda na kukushuka namna gani bwana wewe.
Monnica hakuongeza neno, akaaga pale pale na kuondoka. Sophy akaunda ki group whats up hakumuweka Monicaa sababu ndo alitaka kumnywa chai. Akawa chamba kwamba wima wima kwa kumla kisogo na cd ya mumewe, wakaanza kujikosha kosha, kimepanda kimeshuka. Akawapa ya Monicca kupandwa na jazba baada ya kuipata ile ya gari ya mumewe kukutwa imepaki Kimara Mbezi kwenye guest. Wakacheka woote. Mume wako ukiwa nae ndani akitoka nje wa woteeee. Wakampa pole kwa huyo bibie Sonia kuingia kwenye anga zake. Sophy akawaambia yeye bado yupo kwenye shock maybe akitulia baadae ndo uchungu wa mume utamjia.
Baadae alivotoka ofisini akanunua simu mpyaaa, na line mpyaaa. Akamtext Monica yule Sonnia anaitwa Sonia nani? Monicca akamjibu anaitwa Sonia Lucas. Sophy akasajili ile line Sonia Lucas. Akavitia kwenye pochi, akarudi kwake mdogo mdogo kama sio yeye. Alivopita corner ya saint peters akaona muuza maua, akanunua bunch la roses na kadi. Akaiandika Just because it is Tuesday, from Wifey. Akarudi kwake kwake kamkuta HG anataka kupika akamstopisha, tuliaaa, wife napika mwenyeweeee. Akakorofishaaaa. Mume karudi, akamkuta anakorofisha, kucheki mezani vase ya mau na kikadi. Mume akaguna mmmmhhh! Basi wakala kumalizaaa. Mume akajikausha sebeluni na laptop ana kazi. Sophy akajua hana lolote anataka kuchat na Sonia. Akamuaga mimi naenda kulala.
Kufika room akaiwasha ile simu, kaiweka silence. Akamtext mumewe, Hivi kweli kabisaa una mcheat mkeo, bila hata haya na huyu takataka Sonia? Akasikia simu sebuleni imelia twiiiii! Shoo kusoma akastukaaa. Akafanya kujaribu kuirushia hela ile namba, akakutwa imeandikwa Sonia Lucas. Akazidi kuchokaaa. Akiwa bado amepigwa bumbuwaziii ikaingia what up. Kuifungua picha ya yeye na Sonia wakiwa Mombasa. Akachoka kabisaa. Akazima simuu kabisaa na kwenda chumbani. Sophy alivosikia vishindo kwenye ngazi mtu anapanda kaitoa betri ile simu na kuirushia kwenye pochi, akajitupa kama kalala fofoooooo.
Monnica akarudi kwake hajapika wala nini. Mume karudi kakuta hamna chakula watoto wanakula chips mayai. Akaanza kumpa tu mkewe natuamai huu sio ujinga wa gari yangu imeonekana guest Mbezi ya Kimara finally umekufikia. Mimi gari nilipeleka pale kwa wachina kutengeneza tarhe flani, risiti hizi hapa, nilipeleka saa 1, nikachukua bajaji mpaka ofisini nikalifata saa 1. Ila siku hio watu zaidi ya 5 wananiambia gari yako imeonekana guest sasa sijui mchina ndo alienda kupona huko au wale wanaoambiwa watest kama iko poa sijui. Ila risiti hizo mke wangu nimekukabidhiiiii. Monica hakuzipokea, akaamua kumuamini mumewe. Mumewe akazirudisha mfukoni na kushukuru Mungu maana zilikuwa risiti za Game alikopita jana kununua taka taka angezipokea kungechimbikaaa. Akawa anajisemesha nilitaka kukwambia ila nikaona ungesema najiwahi, nikawa nawaza ni lini huo upuuzi ungekufikiaaa. Watu wapuuzi sanaa, wanataka kuvunja ndoa za watu. Monnie akafurahi, akalipotezea hilo swala. Mumewe akaenda chooni,akiwa chooni akamtext mtu, "Kaingia kingi na story ile ya garage, Sophy noma sanaaa. yaana hapa shwari kabisaaaa" Ikajibiwa na dole gumba. Akaflash uongo akatoka na kupiga mkwara hali chipsi yai. Ufanyike mpango kupikwe.
ITAENDELEA LEO LEO.