pitbull
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 596
- 183
Habari za muda huu wadau,
Nilikuwa nataka kushare na nyie jambo flani lilinikuta this week ili tujadili kidogo. Kuna mschana flani nilikuwa nampenda long time lakini sijawahi kumwambia ila tulikua tumezoeana kimtindo sasa juzi kati nimerudi kitaa nimemkuta na yeye ndio amemaliza form 6 yupo mtaani anasubiria majibu.
Nilikutana nae last week tukabadilisha namba after we chat for a while nikamualika aje gheto. Alikuja juzi sasa baada ya story we found ourselves having sex ila sijamtongoza hata, mwenyewe sikuamini nikajua labda na yeye alikua ananielewa.
Sasa kituko ni leo asubuhi nikamuuliza vipi ana mpango gani na mimi eti ananiambia ana boyfriend wake na hawazi kuchanganywa mabwana wawili sasa najiuliza ilikuaje akakubali tusex na uyo bwana wake ambae anadai yuko chuo anajua ana girlfriend wake yupo mtaani.
Hivi kwa hali hii hata tukija kuoa si tutamegewa sana?