WAKUU,
NAOMBA KUULIZA KIDOGO,
HIVI KUIFANYIA PRACTICAL NADHARIA HII
KUNA UBAYA WOWOTE??
[emoji116][emoji116][emoji116]
_____________
"Mchukue demu umpeleke geto,
Halafu mpime
kwa kumpa jiko...
Juzi jpili naelekea zangu mjini kkoo nimepanda daladala. Mbele ya safari nikapata siti nyuma kabisa. Ndipo kwa siti ya mbele yangu nikamwona dada mmoja around 25 hivi. Chocolate, kasuka nywele...
Sio kila EX ni EXPIRED,EX zingine ni
EXAMPLE:Utanielewa tu...
Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana
Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla
HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo
kabla HAJAKUOA kuliko hata...
Habarini..
Kiukweli naandika uzi huu nikiwa na majonzi na moyo unaniuma.
Mimi ni mwanaume mwenye tabia ya kwenda bar nakupata kinywaji moja moto moja baridi na kurudi home,huwa napenda pia...
Kuna ugonjwa hatari umeingia kwenye ndoa, makazini na watu walio kwenye mahusiano. Unaitwa 'technociosis', huambukizwa na kirusi hatari aina ya 'smartvindrom9' Mara nyingi mgonjwa huonyesha dalili...
Maisha kweli yamebadilika mtoto wa miaka miwili(2) anasoma boarding.
Cha kushangaza wazee pia wametengana kwa sababu ya michepuko.
Je mtoto wa aina hii atakuwa na upendo na wazazi wake or walimu?
Wana jamvi naomba nisaidieni,
Kuna dada mmoja mrembo ambaye ni mtoto wa mjomba, ni mwezi mmoja sasa tangu tumefahamiana.Mwanzoni tulipokutana, alikuwa ananiita kaka, Mara akaanza kujiita mke...
Wana MMU....
Kwa heshima na taadhima bila taraghani wala tahanani naomba mniweke kwenye sala zenu ili safari yangu iwe ya mafanikio.
Ni ombi la dhati kabisa na nawasihi msilichukulie kuwa...
Kwa wazee wa kulia Lia na mapenzi..
Ivi nn kina uhafadhari apa Kat ya ivo,Mwanamke Wako ulyempenda sna na malengo kbao kuamka asubuh na kusema hakutak tena.NA AKAMAANISHA
AU
Mwanamke wko Yan...
Pongezi za kuugawa na kuanza ngwe nyingine ya mwaka.
Katika msimu huu wa sikukuu tukufu tulipata bahati yakukutana sisi wafanyakazi wa kampuni yetu hii kwa upande wa kanda ya kaskazini...
Kulipiza kwa Kumuumiza mtu aliyekutenda vibaya kwenye mahusiano muda mwingine sio vizuri. Ni upotezaji tu wa muda.
Ni kama kuamua kuwa mpumbavu kwa sababu mpumbavu amekufanyia upumbavu.
Muda...
Helo good People,
Kuna mutu huku JF ananifurahishaga sana na comments zake though sizielewi vizuri maana anatumia lugha ya malkia.
Huyu mutu sio mwingine bali ni Paulo Sergio De Souz, jaman...
Mtoto wa Chui au kwa kizungu "Cab", yule wa kiume huruhusiwa kuendelea kukaa kwao (Leopard Herd) kama ataonekana kuwapotezea watoto wa kike wa pride ingine, yaani ataignore relationship na female...
1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima na uthubutu wako.
2. Mwanamke anaemuheshimu mumewe ni mwanamke bora ambae...
Hamjambo waungwana?
Vijijini hakuna TV, mwanaume akitoka kazini akitaka kupumzika anapumzikia kwenye TV ya mama watoto, matokeo yake ndo watoto 8 , 9, 10.
Sababu nyingine...
Habari dada zangu,
Kuna kitu sikielewi sana.Mfano unakutana na mtu may be anakutongoza au bado he is on process mnajuana mnakuwa marafiki anakukaribisha kwake mnapika na kupakua na kuenjoy...
Jaman mwenzenu nimechoka kudakwa kila siku na msg za mchepuko!
Sasa naamua kuwa makini na nimeona nitafute kishikwambi kwa ajili ya mchepuko ambayo wife hataijua
Bajeti ni laki moja mwenye...
Pole na kz wanajamvi, Nina mchumba wangu nmekuwa nae ktk mahusiano kpnd cha miaka mitatu sasa, chakushangaza kajifungua mtoto juzjuz, na hakuwahi kunambia kma anaujauzito wangu. Na alipojifungua...