Kuna viumbe hawakwepeki

Kuna viumbe hawakwepeki

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Juzi jpili naelekea zangu mjini kkoo nimepanda daladala. Mbele ya safari nikapata siti nyuma kabisa. Ndipo kwa siti ya mbele yangu nikamwona dada mmoja around 25 hivi. Chocolate, kasuka nywele zake zikakutana kwa juu ya kichwa. Nywele nzuri na nzito. Zimejaa vizuri kichwani na kushuka kidogo kwenye masikio na zimekaa vizuri kwenye paji la uso. Mi ni mlevi wa nywele kwa kweli. Mwanamke hata awe mzuri vipi kama nywele zake zimekatika katika (hasa kutokana na hii mikemikali) huwa sina hamu nae.

Basi ana macho na midomo mizuri kweli. Nilijua hilo kwa kuwa mara kwa mara alikuwa anageuza shingo kutazama upande wa kushoto. Jambo moja wanaume wajue ni kuwa usione mwanamke, hasa msichana anatazama mbele hivi ukadhani haoni ya pembeni. Anayaona mara mbili yako! Basi kwa kutambua hilo nikawa natazama kando. Nikimcheki alivyokaa pale alionekana ana umbo zuri. Kavaa jinsi iliyombana na blauzi iliyotawanyika kiunoni. Nilimwona baada ya yeye kusimama wakati wa kushuka. Blauzi imechanua na kuficha makalio kiuchokozi. Ni jamii ya kuku wa kienyeji. U know what i mean.

Basi nikamtamani. Nikamfikiria na mwenza wangu nikajiambia shindwa shetani. Basi tuliposhuka nikajikuta namfuata. Nikamsalimia nae akaniitikia huku tukitembea. Nikamuuliza jina akasema anaitwa Hadija. Nilidinda wakati tunaongea. Basi sikuchelewa sana nikameomba mawasiliano. Akasema simu si yake. Danganya toto. Basi kwa kujua sitendi jema sikutaka kususitiza sana. Nikamwambia basi namtakia jpili njema na kwamba nageuza niende zangu. Alishituka kiasi akauliuliza, eeh? Huku akinitazama. Pengine hakutarajia mi kung'atuka mapema hivyo. Nikamuaga nikageuza huku nikihamisha mawazo kupooza mdindo. Nikajiambia bora amezingua maana pengine nisingemwongelesha ningebaki na dukuduku. Kuna viumbe hawakwepeki.
 
Kweli mkuu bora umejiongeza mapema. Sasa alipokuambiwa simu si yake alikuwa anafikiria nn?
Hapo mkuu ''ungesikia babe simu nimeshairudisha kwa mwenye kwahiyo hapa nilipo sina hata hela ya kununua simu. Kwahiyo babe tutakuwa tunawasiliana vipi?'' kwahiyo hapa vizinga vingekuwa vingi sana mpaka unaona mapenz ni kero na karaha
 
Yawezekana na yeye akili yake ilifanya kazi ya ziada hadi kuja na hilo jibu. Kiukweli angelegeza pengine ningekuwa majaribuni saa hii. She is hot
 
Yawezekana na yeye akili yake ilifanya kazi ya ziada hadi kuja na hilo jibu. Kiukweli angelegeza pengine ningekuwa majaribuni saa hii. She is hot
inawezekana ndiyo maisha yake hayo ya kuchuchuna. Hapo mkuu ungeingia kweny 18 zake usingechomoka.
Ila hiyo igia aliyoingia nayo ilikuwa ya kitoto sana
 
Back
Top Bottom