Hakuna namna kipolo kitapashwa tu.

Ph-25

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
1,149
1,500
Sio kila EX ni EXPIRED,EX zingine ni
EXAMPLE:Utanielewa tu...

Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana
Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla
HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo
kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa Vidume na
Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa
pete...I will tell you WHY!!

Kuna watu walipendana sana lakini hao
waliowapenda kwa moyo HAWAKUWAOA...ku
tokana na Situations fulani Mwanamke
akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu
ambacho kilikuja na sera ambazo 'Wanawake
wanapenda' na kako vizuri financially IKABIDI
huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la
moyo' kidemokrasia tu aolewe na wewe..

it oesnt matter how lakini hawa watu wawili
walioachana kidemokrasia "Bado
wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa
kumuoa,ukamhamisha mkoa
wasionane,Ukambadilishia namba za Simu
wasiwasiliane tena,Itapita miaka hata 6
hawajatiana machoni ipo siku
PAAAP,watakutana Kariakoo kwenye
shopping

Zile cheche na hamu na mapigo ya
moyo yataruka upyaaaaaaaa ,na kifuatacho ITV
kitakuwa Isidingo

Mapenzi yao hayakufa...Pete haizuii
kitu bana ...Watajikuta wameunganisha Vikojoleo
upyaaaa .... tena kwa huba zito la kumisiana kwa
hali ya juu,wewe ukidhani Pete pekee
itamlinda,kumbe waapiii,na huo ndio utakuwa
mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na
Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga

Weewe
umeoa kwa Mahari mwenzio anapiga Bureee
bila Mshenga!

Kama nadanganya Wanandoa waje na
waseme hapahapa....Ndoa ni Complicated
kuliko Hesabu za Logarithm na
Integration,Ndoa ni Fumbo na walioweza
kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa
Mungu,

ila Wengi wanadhani wamelifumbua
Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego
ulipo,Ndoa needs God na watu wenye hofu ya
Mungu otherwise "UTAOLEA KIJIJI

tujikumbushe tu japo ilipita kitambo.

c&p.
 

KARANJA 007

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
6,004
2,000
nilimpenda sana mpenzi wangu wa kwanza yaani tukiwa chuo nadhani tulikuwa ndo best couple ever
acheni tu
alishaoa miaka mingi sana mimi bado nipo
yaani namchukia sana i wish ningekuwaga na michepuko kipindi kile
Basi ujue hujapata jembe ulaya wewe,tamka sasa hivi tukuondolee simanzi ili umsahau huyo alokubwaga moyo mamii.
 

beutygirl

JF-Expert Member
Jul 17, 2016
535
500
Sio kila EX ni EXPIRED,EX zingine ni
EXAMPLE:Utanielewa tu...

Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana
Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla
HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo
kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa Vidume na
Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa
pete...I will tell you WHY!!

Kuna watu walipendana sana lakini hao
waliowapenda kwa moyo HAWAKUWAOA...ku
tokana na Situations fulani Mwanamke
akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu
ambacho kilikuja na sera ambazo 'Wanawake
wanapenda' na kako vizuri financially IKABIDI
huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la
moyo' kidemokrasia tu aolewe na wewe..

it oesnt matter how lakini hawa watu wawili
walioachana kidemokrasia "Bado
wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa
kumuoa,ukamhamisha mkoa
wasionane,Ukambadilishia namba za Simu
wasiwasiliane tena,Itapita miaka hata 6
hawajatiana machoni ipo siku
PAAAP,watakutana Kariakoo kwenye
shopping

Zile cheche na hamu na mapigo ya
moyo yataruka upyaaaaaaaa ,na kifuatacho ITV
kitakuwa Isidingo

Mapenzi yao hayakufa...Pete haizuii
kitu bana ...Watajikuta wameunganisha Vikojoleo
upyaaaa .... tena kwa huba zito la kumisiana kwa
hali ya juu,wewe ukidhani Pete pekee
itamlinda,kumbe waapiii,na huo ndio utakuwa
mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na
Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga

Weewe
umeoa kwa Mahari mwenzio anapiga Bureee
bila Mshenga!

Kama nadanganya Wanandoa waje na
waseme hapahapa....Ndoa ni Complicated
kuliko Hesabu za Logarithm na
Integration,Ndoa ni Fumbo na walioweza
kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa
Mungu,

ila Wengi wanadhani wamelifumbua
Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego
ulipo,Ndoa needs God na watu wenye hofu ya
Mungu otherwise "UTAOLEA KIJIJI

tujikumbushe tu japo ilipita kitambo.

c&p.
kwakweli Ndoa ni fumbo...wala si uongo
 

Varbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,115
2,000
Nimesoma saikologia" tafsiri ya ulichokiandika kinamaanisha nafsi yako inawoga juu ya ndoa! Woga wako ni kumegewa! Nikuulize swali moja hivi wote wanaosaliti ndoa zao hufanya hivo na maX wao tu!? Tambua hata kama ulioa bikra mtu akiamua kuchepuka anachepuka tu hilo ni somo pana! Ndoa ipo hivi mtu yeyote aliekwenye ndoa akimthamini na kumpenda kwa dhati mwenzake hawezi kutamani kuchepuka! Mfanye mwenzio kama ndio mtu wa kwanza kwako! Huwezi kuchepuka
 

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,779
2,000
Kipolo = kiporo.

Siku mke wangu akifa mi najua nitaowa mke (mjane) au dem wa mtu. Ee mola wangu nihifadhie hiki ulichonipatia mpaka tufikie uzee angalau wa miaka 80.
 

fakalava

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
4,382
2,000
Ukiwa kwenye ndoa jipange kwa tukio lolote linaloweza kutokea na uwe na suluhisho lake, ili siku likikutokea usipagawe kwa presha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom