Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
WAKUU,
NAOMBA KUULIZA KIDOGO,
HIVI KUIFANYIA PRACTICAL NADHARIA HII
KUNA UBAYA WOWOTE??
_____________
"Mchukue demu umpeleke geto,
Halafu mpime
kwa kumpa jiko la mkaa lililolowana awashe moto mpaka manailoni yote yaishe,
Huku akichambua maharage magumu ayachemshe yaive apike ugali wa dona,
mle mshibe.
Bila kusahau kumpa jeans zako angalau 19 na shuka zako ambazo umezitumia kwa takriban miezi 6 mfululizo bila kuzifua,
azifue zitakate,
Wakati huo ushampa ufagio na tambara la deki asafishe chumba hadi king'ae,
Huku ukimpa malengo yako ya kuanzisha kilimo cha mapera na mikarafuu
na kutaka sapoti yake ya dhati
Ikizingatiwa kilimo chenyewe kitafanywa kwa jembe la mkono,
Baada ya hapo mpe sululu na chepe ili ahakikishe anachimba shimo la takataka
(Sio refu,
Ni la futi 6 na robo tu)
Kisha mpe dumu la
20 ajaze maji kwenye pipa la Lita 113 lita nusu lililopo hapo gheto,
Na amalizie kudeki chooni.
Ikifika saa 12
mpe nauli inayotosha kumfikisha kwao tu,
Bila ziada wala nyongeza yoyote.
Akirudi tena kesho,
Muoe kabisa huyo!
Ni @Waifu_Matirio huyo!
Usimuache kabisa huyo!
Hasa akiwa wa @BAED_KUNOGA!"
_______
LENGO NII_APPLY HII PRACTICAL HIVI KARIBUNI,
AU MWAIONAJE WAKUU??
TUPEANE MAWAZO FASTA HAPA!