myself scenario
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 347
- 213
Habarini..
Kiukweli naandika uzi huu nikiwa na majonzi na moyo unaniuma.
Mimi ni mwanaume mwenye tabia ya kwenda bar nakupata kinywaji moja moto moja baridi na kurudi home,huwa napenda pia kwenda live band na kufurahi na marafiki. Juzi niliweka uzi wenye title isemayo "WIMBI LA WATOTO WANAOKATALIWA NA BABA ZAO LAONGEZEKA. Uzi huu ulikua na maana kubwa sana maishani mwangu..
Siku moja nilienda bar jirani na home hapa na nikakuta kuna muhudumu mpya (bar maid) alikua mrembo na tamaa za mwili na pombe nikajikuta nimemtokea nikiomba chezo.. Alichonijibu ni kwamba hawezi kulala na mwanaume bila hela.. Hapo nikaelewa alikuwa kibiashara zaidi. Kweli mimi nilimpa pesa tukaenda room nikatupia ila bahati mbaya jezi ilipasuka so nikawa kwenye hatari zaidi magonjwa..
Kesho yake nilimuuliza afya yake maana kilichotokea jana sio kizuri. Akanambia yuko vizuri hana HIV basi nikamkomalia na kumtishia maisha endapo ningepatwa na gonjwa. Yule binti kusikia hivyo alienda kupima na kuniletea kipimo na majibu kuwa yuko fresh.. Mazoea yakazidi kwa uzuri wake nikapiga tena safari hii sikumpa hela na wala hakuniomba..
Basi akawa kama dia wangu maana nilikua napiga bure na alionesha kunipenda sana. Siku moja sielewi ni kwanini alinipigia simu na kudai ana hamu na mimi.. Nilimwambia sijisikii vizuri ila alinilazimisha sana hadi nikaenda na tukalala wote usiku ule..
Huyu dada kwa mwonekano ni kicheche mzoefu kwasababu siku hiyo tumelala wote usiku nilichukua simu yake nikakuta meseji kamtumia jamaa mwingine kuwa "ana hamu naye" kumuuliza akajitetea..
Picha likaanza mimi natakiwa nisafiri kikazi kwenda Morogoro. Nilimwambia kuhusu safari yangu na akaanza kusema niondoke nae kwani anahisi ana mimba.. Nilikataa nikamwambia asubiri nitarudi ali force sana ila nilimshinda. Ile kuondoka akanitumia meseji kuwa kapima ana mimba, nikamuuliza ya muda gani akasema hajui hadi ultra sound.. Nikamuuliza ni ya nani akadai yangu..
Ilikuwa shida kukubali coz niliwaza;
1. Kanambia hivyo ili niwe namtumia hela
2. Ameniona nina unafuu wa maisha
3. Ni malaya na kashindwa kujua ni mimba ya nani akaamua anitafute mimi aliyenizoea
4. Hana mimba ila anatengeneza mazingira ya kuvuna hela zangu..
Basi bwana baada ya miezi mitatu nilirudi na nikakuta kweli ana mimba changa ya miezi miwili.. Kishingo upande nilikubali japo BIOLOGY yangu niliyo soma advance inakataa kutokana na siku tulizofanya ki biology zilikuwa safe na mimba isingetokea, ila kutokana na vyakula na magonjwa inaweza tokea mwanamke akashika mimba hata kama yuko kwenye siku salama..
Nikaanza kuhudumia mimba ki shingo upande ila ilifika point miezi mitano nikaacha hadi nimuone mtoto.. Nilianza kujiona boya kuhudumia kitu nisichokuwa na uhakika nacho..
Kimahesabu yangu mtoto alizaliwa akiwa na miezi nane na wiki mbili kitu ambacho kilinishtua zaidi.. Kumuuliza akajifanya haelewi. Nikamwambia sikupi hela hadi nimuone mtoto kama anafanana na mimi coz muda anajifungua mimi nilikuwa safari.. Akasema poa.. Baada ya miezi miwili akanitumia picha za mtoto ili nitoe maamuzi kama nakubali au nakataa ye aendelee na maisha yake coz tangu mimba ikiwa ndogo sijamsaidia lolote..
Niliziangalia zile picha za mtoto ila bado sikuelewa coz pia ndugu zangu walisema hatufani na wengine wakasema tunafanana kidogo.. Ikabidi nimwambie mama ili akamuone huyo mtoto coz kina mama huwa hawapotei..
Baada ya kumwambia huyo binti mpango wa mama kumuona mtoto binti alikataa na mimi nikapatwa hasira nikamwambia asinitafute na namba yangu afute, yeye pia alijibu jeuri kuwa hatanitafuta na kweli sasa hivi ni mwezi hatujawasiliana.
Upande wa pili moyo wangu unamkubali mtoto ila muda mwingine unamkataa pia.. Mimba haijafikisha miezi tisa..
Ni hayo tu ndugu zangu mjifunze kupitia mimi na kama mna maoni pia karibuni.