Huyu mchumba wangu nimfanyeje?

lemidius mbalwohi

Senior Member
Jun 17, 2015
102
21
Pole na kz wanajamvi, Nina mchumba wangu nmekuwa nae ktk mahusiano kpnd cha miaka mitatu sasa, chakushangaza kajifungua mtoto juzjuz, na hakuwahi kunambia kma anaujauzito wangu. Na alipojifungua hajanambia mpaka xaxa, hata cm hapokei lkn nkihesabu cku nlizokutana nae ktk tendo letu, naona ndo zenyewe! Naombeni ushauri nifanyeje nngali bado nampenda?By
Kilowoko de don.
 
Pole na kz wanajamvi, Nina mchumba wangu nmekuwa nae ktk mahusiano kpnd cha miaka mitatu sasa, chakushangaza kajifungua mtoto juzjuz, na hakuwahi kunambia kma anaujauzito wangu. Na alipojifungua hajanambia mpaka xaxa, hata cm hapokei lkn nkihesabu cku nlizokutana nae ktk tendo letu, naona ndo zenyewe! Naombeni ushauri nifanyeje nngali bado nampenda?By
Kilowoko de don.
Yani we jamaa mwanamke mpaka anajifungua humuonagi tumbo na mabadiliko ya afya?we jamaa ni wa pekee asee..
 
Posibly huyo mtoto ana baba wawili... Cha msingi kua mpole nenda ukaongee nae, akueleze kilichomsibu/
Alaf inawezekanaje mchumba mwenye mimba yako awe na mimba mpaka anajifungua hujui?? Ina maana ndan ya miez tisa hukuwah kukutana nae au kuonana nae??
Na cku iz hospital hakuna clinic mpaka wazazi wote wawili muwepo.. Sasa jiulize hiyo clinic ya ujauzito alikua anaenda na nani na mtoto kwenye kadi kaandikwa kwa jina la nani...?
TAFAKARI , CHUKUA HATUA
NB: MCHEZO HAUHITAJ HASIRA, JIFANYE FALA NDO UTAUJUA UKWELI
 
Lkn kinachonifanya niwe na uhakika kuwa hyo mtoto ni wakwangu ni hzo cku nilizozihesabu! Wenda hyu mwanamke kamuuza mwanangu!
 
Kapelekewa mwanaume anayejua kutunza na kulea.. wewe wa kukutana kwa msimu ameona mtasumbuana tuu..
 
''hajawahi kukuambia kama ana ujauzito wako...na alipojifungua Hajakuambia mpaka sasa!!!''........unalialia nini sasa au unataka kulea mtoto wa mwanaume mwenzio? ....nani kasema ukisex na mwanamke mimba ni lazima?....
Unashangaza sana!!


BANGO
 
Kanza Huyo sio mwanao ushapigiwa.....

Pili inaonekana hauko makini hata kidogo mkuu.

Ushauri:
Tafuta mwanamke mwingine mwachie mwenye mtoto waishi vizuri na kwa furaha.
 
Anayejua mtoto wa nani ni mama mwenye mtoto kama hajakushirikisha nyakati zote za ujauzito hapo kuna walakin mkuuuu

Inawezekana vipi mwanamke wa maisha yako usijue hali yake naye wala asikwambie

Labda ulikuwa sex machine mkuuu
Vyema utafute mwanamke mwingine tena usisahau kuwa na adabu zako
 
Back
Top Bottom