mzee wa ngada
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 693
- 293
Kulipiza kwa Kumuumiza mtu aliyekutenda vibaya kwenye mahusiano muda mwingine sio vizuri. Ni upotezaji tu wa muda.
Ni kama kuamua kuwa mpumbavu kwa sababu mpumbavu amekufanyia upumbavu.
Muda mwingine unatakiwa kutumia busara zaidi kusamehe hata kama watu walikutenda vibaya.
Unaacha mambo yaende, unabaki na amani yako na maisha yanaendelea.
Kusamehe na kumuacha msaliti aendelee na maisha yake haimaanishi kwamba wewe ni mdhaifu, ina maanisha unathamini utu wako zaidi ya upumbavu uliofanyiwa.
True or false?