Maisha kweli yamebadilika

bartenderznz

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
398
195
Maisha kweli yamebadilika mtoto wa miaka miwili(2) anasoma boarding.

Cha kushangaza wazee pia wametengana kwa sababu ya michepuko.

Je mtoto wa aina hii atakuwa na upendo na wazazi wake or walimu?
 
Malezi ya baba na mama ni muhimu kwa makuzi ya ntoto,hii mimi imeniathiri sana mama kaniacha nina mwaka mmoja na 1\2 kwa baba, baada ya pale nikachukuliwa kulelewa na babu hakika upendo wa dhati kwa wazazi wangu haupo kwani nimekuja kuonana na mama nikiwa na 16 yrs baba nikiwa 23 yrs
 
Jina la bwana libarikiwe sana
 
Malezi ya baba na mama ni muhimu kwa makuzi ya ntoto,hii mimi imeniathiri sana mama kaniacha nina mwaka mmoja na 1\2 kwa baba, baada ya pale nikachukuliwa kulelewa na babu hakika upendo wa dhati kwa wazazi wangu haupo kwani nimekuja kuonana na mama nikiwa na 16 yrs baba nikiwa 23 yrs
Noted
 
Duuh kiukweli boarding sio nzuri kwa mtoto mdogo. Hii mimi iliniathiri sana. Wazazi wanakumbukwa ukiwa umeishiwa pesa. Toka nilipomaliza niliiapa mwanangu vyovyote vile boarding marufuku. Huku kutafufa pesa ndo kunaleta matatizo yote. Kwa maoni yangu kama baba anafanya kazi basi sio lazma nae afanye kazi bali kunaweza kuwepo hata kijimradi cha kuku ili kumeweka karibu na watoto. Hakuna hausigel wa kumpenda mwanao ila pesa tu.
 
Malezi ya baba na mama ni muhimu kwa makuzi ya ntoto,hii mimi imeniathiri sana mama kaniacha nina mwaka mmoja na 1\2 kwa baba, baada ya pale nikachukuliwa kulelewa na babu hakika upendo wa dhati kwa wazazi wangu haupo kwani nimekuja kuonana na mama nikiwa na 16 yrs baba nikiwa 23 yrs
Oh poleh sana jmn, hakikisha wanao unalea mwenyewe mana ushajua umuhimu wake
 
Malezi ya baba na mama ni muhimu kwa makuzi ya ntoto,hii mimi imeniathiri sana mama kaniacha nina mwaka mmoja na 1\2 kwa baba, baada ya pale nikachukuliwa kulelewa na babu hakika upendo wa dhati kwa wazazi wangu haupo kwani nimekuja kuonana na mama nikiwa na 16 yrs baba nikiwa 23 yrs
Wamama no matter what msiache watoto! Kunakuwa hamna bond kabisa. Asante sana mwanangu naamini hii ni kutokana na bond iliyopokati yangu na wewe!
 
Malezi ya baba na mama ni muhimu kwa makuzi ya ntoto,hii mimi imeniathiri sana mama kaniacha nina mwaka mmoja na 1\2 kwa baba, baada ya pale nikachukuliwa kulelewa na babu hakika upendo wa dhati kwa wazazi wangu haupo kwani nimekuja kuonana na mama nikiwa na 16 yrs baba nikiwa 23 yrs

Ina mana baba/ mama yako hawakuwa wanakuja kumsalimia huyo babu (mzazi wa mmoja wapo) miaka yote hiyo?
 
INAWEZEKANA KABISA IPO MIFANO MINGI SANA HAI.HATUSEMI TU..UNAKAA MIAKA MPAKA SITA MZAZI HUJUI YU WAPI.ACHA KABISA..TUNALETA MASIHARA SANA FAMILIA KWA KISINGIZIO CHA KUSAKA MAISHA.HAKUNA JAMBO BAYA KAMA USIIKIE WENZAKO WANASIMULIA WAZAZI WAO MAKWAO WEWE HUJUI UANZIE WAPI...NA BABA YAKO AU MAMA YAKO NA WOTE WAPO HAI...
 
Watoto wengi ulawitiwa wakiwa shuleni kwa umri kama Huo, ndiyo baadae wanageuka bwabwa
 
Back
Top Bottom