MahedeMkorofi
Member
- Jul 12, 2016
- 74
- 123
Wana jamvi naomba nisaidieni,
Kuna dada mmoja mrembo ambaye ni mtoto wa mjomba, ni mwezi mmoja sasa tangu tumefahamiana.Mwanzoni tulipokutana, alikuwa ananiita kaka, Mara akaanza kujiita mke mdogo, lakini sasa siku zinavyozidi kwenda ananiita baby. Nisipowasiliana naye siku mbili tu analalamika nimemtenga, siku akiwa off anataka niende kwake nikamtembelee.
Nakumbuka alilalamika sana kwanini sijamnunulia nguo za sikukuu ya EID, akadai nampendelea mke mkubwa tu, yaani mke wangu wa ndoa.Jamani hivi maisha ya ubinamu ndio yako hivi? Maana mimi sijazoea haya mambo.