Habari wana jf
Kama upo kwenye mahusiano eidha ndoa, uchumba au ktk level ya upenzi km hamjawahi pitia magumu(mabonde) mwenzako akasema mm na wwe basi na still bdo unamhitaj, zile effort zakutaka...
Leo asubuhi wakati tunajiandaa kutoka, tukapata kesi ya ghafla mke kapigwa na mumewe, Kuja kusikiliza pande zote nikapata sababu kuu
1. mdomo wa mwanamke, Wanawake wenzangu huwezi shindana na...
Wana JF,
Nikiwa na tahashishi na mashamu shamu ya kukutana na chombo murua kabisa, nimesindikizwa na rafiki zangu wawili tukafika kwa mchumba wangu ambaye ndio kwanza alikuwa ana miezi miwili...
Wadau,
Ni jambo linalosikitisha lakini limemkuta moja ya mtu wangu wa karibu. Alifunga ndoa miaka karibu nane iliyopita lakini kwa bahati mbaya hawakujaliwa mtoto. Hilo swala lilimuumiza sana...
Kuna mbinu nyingi katika kunogesha mahusiano,
na kila mmoja na yake ila kuna hii moja ambayo imeshika kasi sana,
naona karibia watu wengi tu wanaitumia,
Niile tabia ya kulegeza sauti wakati wa...
Unakuta mdada mshaachana kitambo lakini bado anataka mzae wote na ilihali anajua una mtu mwingine.
Wengine wanadiriki kusema wewe nipe tu ujauzito nitalea mwenyewe. Ukiingia kingi utajuta mana...
Naomba mnisaidie tumshauri huyu dada yangu. Ameolewa na amebarikiwa watoto. Anaishi Singida kikazi kama mtumishi wa sekta binafsi na mme wake yuko Morogoro kikazi kama mtumishi wa serikali.
Mmewe...
1. Mwanaume Kicheche:Hakuna mwanamke anayependakuchezewa na wanaume, labda tu kamaanafanya hivyo katika juhudi zake zakujikwamua kiuchumi, lakini palemwanamke anapokuwa katika harakatiza kutafuta...
Habari,
Mi ni mfanyakazi wa serikali, mwenye shahada ya uzamili ya utawala, umri wa miaka 32, mrefu wa cm 179, maji ya kunde.
Natafuta mwenza wa kike awe na elimu angalau shahada ya kwanza...
Hii tabia nimeiona sana kwa vijana wengi wanaochipukia kwenye utu uzima,..
Unakuta kijana ameishi na wazazi wake tangu akiwa mdogo, anapelekwa shule ya chekechea mpaka anahitimu elimu ya...
Kwa wale walioko kwenye ndoa, neno uaminifu ni silaha kubwa kwenye mahusiano. Uaminifu ninao uongelea hapa leo maana yake ni 100% kwa mwenza wako. Hii ina maana kuwa wazi na kipato unachopata na...
Salamu wote wana Mtu.
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana na nimefanya utafiti mdogo tu na nimegundua tofauti na wanawake /wasichana wa sehemu nyingine duniani wanawake /wasichana wa kibongo ni...
Wanajamvi habarini za miangaiko!
Bila kupoteza muda, mada iko hivi. Wakati niko chuoni actually kulingana na mishe zangu nilikuwa naingia kwenye vipindi vya jioni baada ya kazi.
Sasa kuna...
Katika muendelezo wa kutafuta ajira mbadala,leo naomba niwashirikishe vijana wenzangu ambao hatuko tayari kwenda uwanja wa Taifa kutafuta ajira za uhamiaji,basi tiririka na mimi.
BBC Swahili...
Disclaimer: Mabinti na wanawake wa JF, dhambi ya kutokujibu private messages zangu, kisa nimedeclare kwenu nimeoa, itawatafuna.
Watu wengi sana wamepata wake au waume kupitia watu wengine...
Hamjambo!
Moja kwa moja niwafikishie kile kilichofanya nije nijuzwe na hawa dadaz wetu hasa wa mjini. Kumeibuka wimbi kubwa wanavaa Pete sio ya ndoa na sio kwenye kidole cha ndoa no wanavaa...
Leo asubuhi nimepita mahala nilikuwa nanunua household items nimekutana na wadada wawili mmoja muuzaji mwingine mteja. Wameniambia maneno magumu mpaka nimetamani ardhi inimeze palepale.
Nilivaa...
Miaka kadhaa huko Uchina, Binti aitwaye Li-Li aliolewa na akaenda kuishi kwao mumewe na mama wa mumewe.
Ndani ya muda mfupi Li-Li alijikuta hana maelewano kabisa na mama Mkwe wake. Tabia zao...
Mwanamke aliyempenda mpenzi wake kwa mapenzi ya dhati na kumpa heshima na unyenyekevu mwanaume wake akiwa na tumaini la kuwa amepata mume wa maisha yake na baba wa watoto wake, aliposhika mimba...