mohamed abbubakary
New Member
- Jul 22, 2016
- 1
- 1
Habari,
Mi ni mfanyakazi wa serikali, mwenye shahada ya uzamili ya utawala, umri wa miaka 32, mrefu wa cm 179, maji ya kunde.
Natafuta mwenza wa kike awe na elimu angalau shahada ya kwanza, mfanyakazi na dini ni muislamu,
umri kati ya miaka ya 23 - 30,
awe na tabia njema, yuko tayari kujituma na kushiriakiana, busara na umbo la kawaida, asiwe mnene sana.
awe kuishi Dar es salaam,
kwa aliyekuwa tayari tu naomba tuwasiliane kwa mail mhmdabbkry@gmail.com
ahsanteni..