Kajuni
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 483
- 186
Salamu wote wana Mtu.
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana na nimefanya utafiti mdogo tu na nimegundua tofauti na wanawake /wasichana wa sehemu nyingine duniani wanawake /wasichana wa kibongo ni wagumu sana kuchangia gharama wakiwa kwenye mahusiano! Haijalishi ana kazi ama la wao Kila siku ni mizinga na invoice kubwa kubwa! Baby leo ni birthday, baby nataka kwenda saloon, baby Nitumie tigo pesa elfu 20, nk....
Hivi kwa nini wapo hivyo? Je ni ugonjwa au ni malezi au ndo umalkia wa nguvu?