Wadada na nyie mnatamani wanaume?

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,738
3,198
Leo asubuhi nimepita mahala nilikuwa nanunua household items nimekutana na wadada wawili mmoja muuzaji mwingine mteja. Wameniambia maneno magumu mpaka nimetamani ardhi inimeze palepale.

Nilivaa nguo na viatu vya mazoezi. Wale wadada wameanza kunichamba! wanasema sisi tukivaa kama wewe hamchelewi kutulaumu kuwa tunawatamanisha, mbona wewe hapo unatutamanisha tunatamani tukubake! was real schocked! sikuona kitu cha ajabu kuvaa bukta na singland nikiwa maeneo karibu na home. Sijawahi waza/kuambiwa maneno kama yale na walikuwa serious.

Nimeondoka kimyakimyaa kama nimedata fulani kwa kufedheheshwa kule na kupewa kisindikizo kuwa ninakoenda niwe makini nisibakwe!

Nimebaki najiuliza hizi nyapu nazo zinawaza kama wanaume?! Wadada nao wanakuwa na hisia na mwanaume kwa muonekano na mavazi? Nakemea hili pepo kwa jina la aliyesimamisha mbingu bila ya nguzo.

Wadada tulieni msubiri application, kazi ya kutamani achieni wanaume.
 
Mkuu hujasikia siku hizi kila binti akiulizwa unapenda mwanaume gani utasikia TALL, DARK AND HANDSOME...Na siku hizi wameongeza and SIX PACK...So sisi wa One Pack hatuna yetu tena....

Six pack muhimu beer belly inahusu
upload_2016-5-7_11-4-3.jpeg
 
Back
Top Bottom