JembePoli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,324
- 1,000
Hamjambo!
Moja kwa moja niwafikishie kile kilichofanya nije nijuzwe na hawa dadaz wetu hasa wa mjini. Kumeibuka wimbi kubwa wanavaa Pete sio ya ndoa na sio kwenye kidole cha ndoa no wanavaa kwenye kidole cha 4 na wengi wao wanakuwa single mothers.
Mwenye kujua maana ya kuvaa hivyo tafadhari atujulishe.