Ungekuwa wewe Ungefanyaje?

Ungekuwa wewe Ungefanyaje?

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,691
Wanajamvi habarini za miangaiko!

Bila kupoteza muda, mada iko hivi. Wakati niko chuoni actually kulingana na mishe zangu nilikuwa naingia kwenye vipindi vya jioni baada ya kazi.

Sasa kuna somo ambalo nilichelewa sana kuhudhuria vipindi vyake kama wiki tatu mfululizo ila siku yangu ya kwanza kuingia nilijitahidi kuwa mchangiaji kwenye discussions ili hata ikitokea nimekosa kuhudhuria siku nyingine mwalimu asinimind sana maana umachinga ulizidi.

Sasa kipindi kilichofuatia nilipata udhuru kikazi nikasafiri hivyo sikuhudhuria kipindi cha mwalimu huyu. Alikuwa dada mzuri na very smart upstairs kwa kweli.

Niliporudi darasani, wanafunzi wenzangu wote waliniambia nimchukue mwalimu mazima maana si kawaida alivyoniulizia. Sasa alipoingia yeye darasani hakuonyesha dalili yoyote ya kunishobokea ila baada ya pale tulipata likizo. Hapo ndo siku moja nashangaa mtu ananipigia akajitambulisha kuwa yeye ni mwalimu wangu na angependa twende movie kama sitojali.

Kwa kuwa nilishapata habari mapema nilikubali. Na siku hiyo ndo ilikuwa mwanzo wa safari ya mahusiano na mwalimu wangu.

Nikiri kwamba sikutaka kuwa na mahusiano naye ila nilipiga mahesabu ya madhara ya kutokukubali ombi lake hususani kwenye matokeo yangu ya mitihani niliogopa kufelishwa kwa kosa hilo.

Baada ya kumaliza chuo nilimpiga chini lakini

Vipi wewe Ungefanyaje?
 
Kumbe hakuwa mkali kama ulivyotujuza maana kama angekuwa...... usingempiga chini!
"LOGIC"
 
It's okay... Ila next time jitahidi kukubali kitu ikiwa moyo wako umeridhia na sio kufanya tu ili umridhishe mtu ilihali unajua kabisa hauko comfortable

Yeah ila niliangalia mazingira na usalama wangu wa elimu. Pia nilikuja kumpenda ile mbaya kwa sifa zake na nina historia ambayo haifutiki kwake. Alikuwa na kila sifa ya kuitwa mke mwema
 
Ulipima?.?? Ulitumia kinga??? Were you having any relationship apart??? From Huyo?? Ulishajiuliza amependa wangapi kirahisi kama weewe
Yeah, its a long time ago mzee all is well
 
Back
Top Bottom