Wanawake tupunguze midomo.

Wanawake tupunguze midomo.

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
7,615
Reaction score
24,262
Leo asubuhi wakati tunajiandaa kutoka, tukapata kesi ya ghafla mke kapigwa na mumewe, Kuja kusikiliza pande zote nikapata sababu kuu

1. mdomo wa mwanamke, Wanawake wenzangu huwezi shindana na mwanaume hicho kitu hakipo, yeye akipanda wewe unashuka sio yeye anapanda na wewe unampandia huko huko hakuna ndoa ya ivyo. Mume kakosa tulia usipaniki shusha hasira sema nae kwa utaratibu lazima atakuelewa labda awe wale aina za Waume Vichomi.

Siku hizi ndoa nyingi hazidumu sababu utakuta mwanamke unajiona wewe ndo wewe, usikii la mtu si la mume wala la mkubwa wako lolote.
 
Mode naomba muiamishe hii iende jukwaa la MMU
 
Safi sana dada, wewe ndo wale wife material tunaowatafuta...
 
Leo asubuhi wakati tunajiandaa kutoka, tukapata kesi ya ghafla mke kapigwa na mumewe, Kuja kusikiliza pande zote nikapata sababu kuu
1. mdomo wa mwanamke, Wanawake wenzangu huwezi shindana na mwanaume hicho kitu hakipo, yeye akipanda wewe unashuka sio yeye anapanda na wewe unampandia huko huko hakuna ndoa ya ivyo. Mume kakosa tulia usipaniki shusha hasira sema nae kwa utaratibu lazima atakuelewa labda awe wale aina za Waume Vichomi.
Siku hizi ndoa nyingi hazidumu sababu utakuta mwanamke unajiona wewe ndo wewe, usikii la mtu si la mume wala la mkubwa wako lolote.
Wewe ni baadhi ya wanawake wachache wenye akili na hekima kubwa nakupongeza sana, Mungu aitunze ndoa yako iwe na mafanikio tele
 
Leo asubuhi wakati tunajiandaa kutoka, tukapata kesi ya ghafla mke kapigwa na mumewe, Kuja kusikiliza pande zote nikapata sababu kuu
1. mdomo wa mwanamke, Wanawake wenzangu huwezi shindana na mwanaume hicho kitu hakipo, yeye akipanda wewe unashuka sio yeye anapanda na wewe unampandia huko huko hakuna ndoa ya ivyo. Mume kakosa tulia usipaniki shusha hasira sema nae kwa utaratibu lazima atakuelewa labda awe wale aina za Waume Vichomi.
Siku hizi ndoa nyingi hazidumu sababu utakuta mwanamke unajiona wewe ndo wewe, usikii la mtu si la mume wala la mkubwa wako lolote.
nimekuja mbio nikajua unamaanisha washonwe labda wana midomo mikubwa,kumbe unamaanisha wapunguze gubu,basi hapanifai hapa!
 
Nilikuwa nawaza jambo kama hilo wanawake wamezidi gubu Inafika mahali unajiuliza huyu ni mke wangu au mamangu.
 
Aise kuna wanawake wanamidomo bana... Utaomba poo mwenyewe
 
Bibie akili unayo mpaka nimejisikia furaha.
 
Back
Top Bottom