Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,958
Unakuta mdada mshaachana kitambo lakini bado anataka mzae wote na ilihali anajua una mtu mwingine.
Wengine wanadiriki kusema wewe nipe tu ujauzito nitalea mwenyewe. Ukiingia kingi utajuta mana atakung'ang'ania kama ruba.
Tujihadhari wanaume wenzangu.
Wengine wanadiriki kusema wewe nipe tu ujauzito nitalea mwenyewe. Ukiingia kingi utajuta mana atakung'ang'ania kama ruba.
Tujihadhari wanaume wenzangu.