Kijana Jitambue!!!!!!

Kijana Jitambue!!!!!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,704
Reaction score
28,971
Hii tabia nimeiona sana kwa vijana wengi wanaochipukia kwenye utu uzima,..

Unakuta kijana ameishi na wazazi wake tangu akiwa mdogo, anapelekwa shule ya chekechea mpaka anahitimu elimu ya chuo!! Lakini cha kushangaza hapa kijana anafanikiwa kupata ajira yake nzuri na kuingiza kipato chake bado anaendelea kuishi na wazazi wake ilhali anao uwezo wa kujitegemea lakini utashangaa kijana bado anaendelea kuganda kwa wazazi wake na hachangii matumizi madogomadogo pale nyumbani, utamkuta kwenye starehe huko viwanja na anarudi kula na kulala nyumbani kwa wazazi wake tena anarudi muda anaoutaka yeye mwenyewe, nina hakika wazazi na ndugu huwa wanasikitika sana wanapowaona vijana kama hawa, kwa sababu baada ya kuwa msaada katika familia zao wanageuka mzigo katika familia! Wengine wanakuwa malimbukeni wanaenda kununua magari na wakati unamkuta hata kiwanja cha kuwekea banda hana, raha yake aonekane barabarani kama watu wengine wenye magari yao,. Kijana umri unasonga jipange mapema uzee unajongea taratibu!!!!
 
Nadhani inategemea na familia yenyewe kwamfano kama kaka zangu wachache sana wanaishi wenyewe tena kwa kugombana na mzee, lakini mzee hupenda sana waishi nyumbani lakini pesa zao wanunue vitega uchumi, na hata wako wengine wameoa basi wake zao wanaishi hapo hapo nyumbani sijui logic ya hii nini lakini kwa maelezo ya mzee husema anataka kuona wajukuu zake wanaishi kwa kujuana na yani kwanfano mtoto wa kaka yangu wa kwanza na wa pili watoto wao wanapenda sana ... wale waloamua kukaa njee au kupanga sioni kama wanafanya chochote cha mana zaidi ya kuji
onyesha kua leo ana gari mpya wakati hata kibanda cha chumba kimoja hana, ukiuliza kwa nini ana sema kujenga majaaliwa...
 
wala huitajiki kuwaambia, maisha yatawaambia tu
 
kuna watu wanafanya hayo mambo????
 
Nadhani inategemea na familia yenyewe kwamfano kama kaka zangu wachache sana wanaishi wenyewe tena kwa kugombana na mzee, lakini mzee hupenda sana waishi nyumbani lakini pesa zao wanunue vitega uchumi, na hata wako wengine wameoa basi wake zao wanaishi hapo hapo nyumbani sijui logic ya hii nini lakini kwa maelezo ya mzee husema anataka kuona wajukuu zake wanaishi kwa kujuana na yani kwanfano mtoto wa kaka yangu wa kwanza na wa pili watoto wao wanapenda sana ... wale waloamua kukaa njee au kupanga sioni kama wanafanya chochote cha mana zaidi ya kuji
onyesha kua leo ana gari mpya wakati hata kibanda cha chumba kimoja hana, ukiuliza kwa nini ana sema kujenga majaaliwa...

kuendelea kuishi kwa wazazi ilhali unao uwezo wa kujitegemea nayo ni weakness kwa kijana wa kileo mkuu, haijalishi mzazi anataka uendelee kukaa naye ama vipi!! Kuna wakati ukifika no way out, you have to go and search for your own life mkuu,..
 
Wazazi ndio wa kulaumiwa kwani mtu au kijana yeyote akipata mahali pa "dezo" kwa nini abanduke? Kama tayari ana kipato afungashe virago akajitegemee ili wazazi wale penseni yao bila bughudha.
 
nakumbuka mzee wangu enzi hizo akirudi toka kunywa komoni kilabuni anamwambia kaka yetu mkubwa
"Sina huruma, haata kidogo....Hondokaaa".....mzee alikua mtata
 
hv kunatatzo gan hasa! Chukulia wazaz wanaeneo la kutosha na wewe umeamua kubaki ila kila kitu unatoa i.e msaada wowote unaitaj ufumbuz wako unatatua, tena ikiwewezekana unaoa kabisa ukiwa hapo hapo nyumbani, na ikibidi na magar yote ya mjin unaleta nyumbani....unajua nini tuachane na habar za vijeweni.
 
kuendelea kuishi kwa wazazi ilhali unao uwezo wa kujitegemea nayo ni weakness kwa kijana wa kileo mkuu, haijalishi mzazi anataka uendelee kukaa naye ama vipi!! Kuna wakati ukifika no way out, you have to go and search for your own life mkuu,..
Nadhani ni kila familia na malezi yao labda tuweke hivyo ....
 
Wengine ukiomba hela unaambiwa "Mwanangu ujue mimi na we ni wanaume tofauti ni UMRI tu mwenzio Natafuta!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom