Wanawake wa MMU ukiwaambia tu umeoa, PMs zako hawafungui!

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,640
2,000
Disclaimer: Mabinti na wanawake wa JF, dhambi ya kutokujibu private messages zangu, kisa nimedeclare kwenu nimeoa, itawatafuna.

Watu wengi sana wamepata wake au waume kupitia watu wengine, namaanisha nini?

Unaweza kuwa rafiki yangu wa kawaida tu, kupitia urafiki tunaweza kufanya jambo fulani la kushirikiana, labda biashara, jambo la kijamii, n.k,. Kwa maana hiyo nitaweza kukufahamu wewe vizuri na wewe kunifahamu pia.

Kutokana na urafiki wako na mimi, unakuza network yako, unapata nafasi ya kujua na kukutana na watu wengine wapya na kujenga nao mahusiano mbalimbali (tena unaweza kupata connections na mafanikio ambayo hukuwahi kuwaza wala kuota kwa namna hii). Pia naweza kumrecommend mtu aliyepo kwenye network yangu ambaye umekutana naye kupitia mimi kama inafaa yeye na wewe kuhusiana kimapenzi iwapo ataonyesha kuvutiwa na wewe, au kukurecommend wewe kuhusu huyo mtu au mwingine iwapo utavutiwa naye, kwa sababu nawajua wote.

Why am I saying this?

1. Mimi nilipata mke wakati nikiwa

2. Rafiki yangu amevutiwa na msichana ambaye

Kimsingi, wasichana wengi wanadhani kukaa mbali na wanaume waliooa na kuwa na mahusiano ya karibu zaidi na mabachelors ndio njia nzuri ya kuspeed nia zao za kuolewa, wanajidanganya!

Coclusion:

Msichana akitaka kuolewa na kuwa na ndoa njema akae karibu na kumsikiliza mwanaume aliyeoa (asiwe bazazi, mfanye mentor wako kwenye mambo ya kijamii, kirafiki na mahusiano, he knows what it takes a man to be a real husband), pia mvulana akitaka kufanikiwa katika ndoa, akae karibu na mama aliyeolewa (asiwe mamazi, she knows what it takes a woman to be a real wife).
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom