Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,958
Wadau,
Ni jambo linalosikitisha lakini limemkuta moja ya mtu wangu wa karibu. Alifunga ndoa miaka karibu nane iliyopita lakini kwa bahati mbaya hawakujaliwa mtoto. Hilo swala lilimuumiza sana mwanamke lakini mme wake alizidi kumpa moyo kwamba wakati wa bwana ukifika watapata mtoto(mke alionekana kuwa na shida kwenye uzazi).
Mke ni mrembo sana na mme alijivunia sana kuwa nae na alimpenda kwa dhati. Sasa kumbe mke alishaanza tabia ya kusagana kabla hata ya ndoa na inaonekana ilimuathiri kisaikolojia na alishindwa kuacha lakini katika kipindi chote hicho mme hakujua hizo tabia chafu za mke wake.
Baada ya hizo flustration za kutopata mtoto mke ndo akaonyesha makucha yake mpaka mwanaume akajua. Ilifikia kipindi mke anaingiza wanawake wenzie ndani na wanasagana mme wake akiwepo. Kitendo kile kilimhuzunisha sana mme na kila alipojaribu kumshauri mke wake aachane na hayo mambo mke alikataa katakata akisisitiza ni bora tu waachane lakini kuacha hawezi.
Mme alijitahidi kuwashirikisha familia za pande zote mbili lakini hawakufanikiwa kutokana na mke kukataa kuacha kabisa na akisisitiza anataka talaka ili kila mtu awe na maisha yake. Mme pamoja na masahibu yote hayo bado aligoma kumuacha mke wake kipenzi.
Mke alifikia point mpaka akataka kumuua mme eti kwasababu anamfwatilia sana mambo yake ya u-lesbian na anadai mara nyingi wazazi wake wanamsumbua kutokana na ripoti mme alizokua anawapa. Mme ilifikia point akachoka na ikibidi tu aachane na mke wake kipenzi ingawa mpaka leo anatamani wawe pamoja.
U-lesbian wa mke ni kwamba yeye anawafanya wanawake wenzake na ilifikia point anawafanya wanawake mwezie kama wake zake. Yani unakuta mpaka wake za watu anawafanyia mchezo huo. Mliopo kwenye ndoa chunguzeni haya mambo yapo sana.
Ni story ndefu, lakini kwa kumalizia ni kwamba mme kwa sasa amesha move on na maisha yake yako vizuri tu na mke anaendelea na maisha yake.
Ni vyema sana tukawachunguza wenza wetu kabla ya kuamua kufunga ndoa. Watu wanavumilia vitu vingi sana ndani ya ndoa lakini inafikia point vingine havivumiliki.