mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,171
Wana JF,
Nikiwa na tahashishi na mashamu shamu ya kukutana na chombo murua kabisa, nimesindikizwa na rafiki zangu wawili tukafika kwa mchumba wangu ambaye ndio kwanza alikuwa ana miezi miwili ameajiriwa kwenye hosptali moja ya mission Rubya Hospital ghafla anaingia mtu amejipamba sana , akiwa ameweka nywele nyingi kukifanya kichwa kuwa mzigo, huku chini akiwa amevaa kitop na jeansi lililochanika chanika, akataka kuniwau, nilishutuka nimebadilika na kumsukuma kwa muda, kutuachanisha alafu nikakaa kama dakika mbili hivi , nikamuuliza umefanya nini? yeye kimya)umefundishwa hivyo (kimya) nikawaambia rafiki zangu tuondoke.
Kwa kweli mchumba alibadilika akaangua kilio kuomba samahani nikamwambia tutaonana tu tukiwa peke yetu, akanikubalia tukaondoka. Tukiwa njiani tunatembea niliingiwa na ukimya sana rafiki zangu wakaniuliza mbona umeshindwa kumsamehe kwa kitu kidogo jeans tu. Nikawajibu, ndoa haijalibiwi, kama mtu anajiondoa ufahamu mapema anafanya vituko mbele ya marafiki zangu mapema hivi, akiizoea ndoa itakuwaje?
Wanandugu huu ulikuwa ujinga kwangu au niliona mbali, kama ungekuwa wewe mrembo unayemtegemea aongoze familia anakuja na nguo zinazovaliwa na machiz eti fashion ungefanyaje.