julmiranda
Senior Member
- Mar 21, 2016
- 171
- 148
Habarini wanaJF,
Nina ndugu yangu ni degree holder tangu 2013 hana kazi yoyote kasaidiwa sana na wanafamilia angalau afanye biashara hataki ye anataka kazi.
Tatizo lake sasa ni mlevi kupindukia ye hata interview anaenda yupo bwii kwahiyo hajaajiriwa mpaka leo, ni mtu ambaye anaonekana ana mawazo sana matokeo yake muda wote ye kalewa.
Sasa naombeni msaada namna ya kumsaidia binafsi nilifikiria tumpeleke mental hospitals lakini sijui details zake.
Nisaidieni waungwana