Rushwa ya ngono inataka kuniharibia mtoto

Nashengena

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,015
3,694
''Wewe ndio nitakupa kazi ya kuigiza hii tamthilia na nitakubadilishia maisha yako ukinikubali''

Haya ni maneno aliyoambiwa mtoto wa dada yangu ambaye anataka kuanza kazi ya kuigiza filamu za Bongo movie. Huyu msichana ana umri wa miaka 22 na amemaliza diploma ya mambo ya procurement mwaka huu. Siku moja kaniambia kuna tangazo limetoka kwa ajili ya kuigiza na anatakiwa mawnamke mwenye maumbile ya namna fulani na mimi naona nina vigezo vyote. Kwanza nilishangaa kwa yeye kujenga interest na mambo ya kuigiza na wakati alikuwa na mpango wa kuendelea na chuo kwa ngazi ya shahada.

Mimi nikamuuliza haya yanatoka wapi, si ulisema unataka kuendelea na chuo? akasema chuo nitasoma baadae kwani nataka nianze kufanya kazi kwanza, na kazi yenyewe ni hiyo. Siku moja Sikumoja huyo baba ambaye ni mtu mzima wa miaka 50, ambaye ndio mmiliki wa hiyo kampuni ya film production alimuita kwa ajili ya usahili, cha kushangaza akamuuliza unavaa viatu saizi gani? Kesho yake huyu baba alimfata maeneo ya chuoni alikokuwa anasoma akampa zawadi ya viatu. Yaani nilishangaa sana, nikamuambia kwa nini unakuwa cheap kiasi hiki, kwani wazazi wako wanashidwa kukupa hela ya kununua viatu, kama ni viatu si unngeniambia nikununulie. Alichoniambie ni kuwa mimi natamlia tu huyu baba hela yake ila simtaki. Mimi nikamwambia ukitaka kula lazima na wewe uliwe!

Juzi jumapili ameenda kuchukua mkataba. Nimemwabia mama yake kuhusu yeye kutaka kuigiza, mama yake amewasiliana naye cha kushangaza amemwambia mama yake hajaamua bado, kitu ambacho ni uongo kwani ameshapangiwa vipande vya kuigiza yatari.

Nimejitahidi kumshauri na kumueleza madhara ya rushwa ya ngono wala hataki kusikia, nikamwambia kwa nini udhalilishe utu wako kwa ajiliya kazi? ulisomeshwa ili iweje? Pia nimemueleza kuwa wewe ni nani mpaka akupe hiyo kazi, experience yenyewe ya kuigiza huna. Nikamuambia tasnia yenyewe ya uigizaji ina taswira mbaya katika jamii na pia wadada wengi wanaoigiza sijaona mafanikio yao yoyote pamoja na kuwa kwenye hiyo fani kwa muda mrefu. Jiulize kwamba unataka kuwa na maisha gani baada ya muda wa miaka kadhaa ijayo.

Huyu mtoto naishi naye mimi ila naona kabadilika kweli, sijui nifanye nini niweze kumzuia asije kuangukia kwa huyo fataki i wa kiume.

Nawasilisha
 
Akililia wembe mpetu!
 
..Mtoto akililia wembe. Pia mkumbushe wazungu walishafuta uzamini wa dawa za ARV. Pia mjulishe hizo dawa zina madhara makubwa sana. Mwambie anathamani kubwa sana kuliko kugawa bure utu wake.
 
asante kwa ushauri
 
mtoto akililia wembe mpeeee tu kiroho safi kwanza huyo sasa sio mtoto kama anamiaka 22 alafu ataki kusikia la mtu we muache ila jaribu kumkalisha chini umpe nasaha na kumtotea mifano mbalimbali na aitambue thamani yake ila kama ana tamaa ya pesa mwili lazima utumike njaa mbaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom