mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,174
Wana JF,
Nimeona hili niliongelee , wakina mama wengi wamekuwa na tabia ya kutojali miili yoa, miili yao wanaiachia hovyo hovyo inang'atwa na mbu, sisimizi , kunguni, chawa huku wao wamekazana kumiliki masimu makubwa pochi kubwa na nguo za gharama sana, hawataki kwenda kwa madaktari pindi kunapotokea aleji ya kitu fulani, wengine washaambiwa kuna aina ya samaki ya vibua kama una alaji nayo usile, lakini yeye anapeleka njaa yake pale, wengine, wakisikia ngoma za kukesha ndio haoooo wanalala nje wanang'atwa na mbu, huku wakitupia ka mkologo, wengine kwenye vilio hawakumbuki kubeba dawa ya kukimbiza mbu.
Ifike hatua mjali miili yenu muwe na utaratibu za kucheck afya. Kuna Upele Tuchunusi tudogo) mwingine unaletwa na kutopata pomba aumikwaju kwa siku nyingi, hii inatibika hila inabidi uwe angalau unazisugua kwa limau .