Siwezi lisahau penzi la binamu yangu

msemakweli2

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
1,627
1,880
Ni miaka takribani sita tangu nilipokuwa nakula tunda la binamu yangu, iko hivi wakati wa likizo zangu zote nilikuwa nakuja kumtembelea mjomba wangu ambaye alikuwa hapa dsm. alikuwa akinipenda sana na hata mambo yake ye ndani alikuwa akiniamini mimi tu na kuniambia, kuna wakati alininunulia kiwanja nikiwa form six hapa dsm.

Mjomba alikuwa na mtoto wake wa kike ambaye mama wa huyo mtoto alishatengana na mjomba na alikuwa ameolewa na mtu mwingine na yeye mjomba alikuwa ana mke mwingine. Nilimtamani binamu sana ila nilimpa heshima yake na hasa nikifikiria upendo wa mjomba kwangu. Nakumbuka siku moja binamu alikuwa amefunga kanga anasukutua kwenye sink la kwenye cordo macho yalinitoka ila nikajikaza kiume.

Siku moja wakati tupo nyumbani katika utani wa hapa na pale nilimtania binamu nikaona anafurahi,siku iliyofuata nikamwambia binamu nyama ya hamu akasema ni kweli, daaah kesho yake nilikuwa nimejipumzisha kitandani binamu kaingia chumbani kuchukua mafuta nikamvuta kitandani michezo ya hapa na pale nikajikuta nimezama kwenye mzigo,ikawa ndio shughuli kila siku nakula tunda lakini nilikula kwa uoga sana kwakuwa niliogopa nikikamatwa itakuwaje.

Siku moja nimekaa na uncle akaniambia akaniambia yule sio mtoto wake kwakua wakati anaanza mahusiano na mama yeke tayari yule mama alikuwa mjamzito lakini ilikuwa ni siri kwakua hata yule binamu alikuwa hajui hiyo historia.Daaah baada ya maongezi haya ilikuwa ndio kama amenipa go ahead kwakua niliongeza dozi mara mbili zaid,saivi ameolewa ana maisha yake,imebaki kuwa siri mimi siwezi kumueleza kwanini tulikuwa tunasex ili hali sisi ni ndugu lakini ukweli naujua mimi tu kwamba hakuwa ndugu wa damu.
 
mmmmmm,msemakweli leo umeona bora useme kweli,kama noma naiwe noma lakini binamu alikuchanganya na michezo yake,mmmmmmmmmmBRAVO binam..........
 
Nadhani huyu anahitaji ushauri nasaha, wakuu njooni mumpe ushauri nasaha
kosa langu likowapi mkuu,sikumbaka alinipa mwenyewe kwa hiyari yake mkuu,leo hii mumewe ananiita shemeji wakati nilikuwa nakandamiza mke wake
 
yaaani unaona nafaiiiiidi hahahah
mfyuu unafaidi ndiyo umekula binamu yako ukapata na bikra hata kumsitiri binamu yako hutaki unaishia kusema wanawake tusio kuwa na bikra .. kumbe wewe umefumua binamu yako humo ndani nyumba moja nimechukia sana
 
tatizo unasoma kama vile kuna kitu kimekuingilia mwilini mwako,hayo mambo ilikuwa nipo shule,nimesema ni miaka sita iliyopita jamani khaaaa,acha jazba missmachame
 
hapana hata kama ingekuwa miaka ishirini mkuu inauma kwa kweli kama binamu alivyokupa ndivyo na sisi tuliwapa kiroho safi ila leo hii umekuwa wakutuhukumu kweli roho inauma aisee nashindwa kuvumilia
 
sometymz ndugu wa mikoani wana ubaya na uzuri waoo

Ni miaka takribani sita tangu nilipokuwa nakula tunda la binamu yangu, iko hivi wakati wa likizo zangu zote nilikuwa nakuja kumtembelea mjomba wangu ambaye alikuwa hapa dsm. alikuwa akinipenda sana na hata mambo yake ye ndani alikuwa akiniamini mimi tu na kuniambia, kuna wakati alininunulia kiwanja nikiwa form six hapa dsm.

Mjomba alikuwa na mtoto wake wa kike ambaye mama wa huyo mtoto alishatengana na mjomba na alikuwa ameolewa na mtu mwingine na yeye mjomba alikuwa ana mke mwingine. Nilimtamani binamu sana ila nilimpa heshima yake na hasa nikifikiria upendo wa mjomba kwangu. Nakumbuka siku moja binamu alikuwa amefunga kanga anasukutua kwenye sink la kwenye cordo macho yalinitoka ila nikajikaza kiume.

Siku moja wakati tupo nyumbani katika utani wa hapa na pale nilimtania binamu nikaona anafurahi,siku iliyofuata nikamwambia binamu nyama ya hamu akasema ni kweli, daaah kesho yake nilikuwa nimejipumzisha kitandani binamu kaingia chumbani kuchukua mafuta nikamvuta kitandani michezo ya hapa na pale nikajikuta nimezama kwenye mzigo,ikawa ndio shughuli kila siku nakula tunda lakini nilikula kwa uoga sana kwakuwa niliogopa nikikamatwa itakuwaje.

Siku moja nimekaa na uncle akaniambia akaniambia yule sio mtoto wake kwakua wakati anaanza mahusiano na mama yeke tayari yule mama alikuwa mjamzito lakini ilikuwa ni siri kwakua hata yule binamu alikuwa hajui hiyo historia.Daaah baada ya maongezi haya ilikuwa ndio kama amenipa go ahead kwakua niliongeza dozi mara mbili zaid,saivi ameolewa ana maisha yake,imebaki kuwa siri mimi siwezi kumueleza kwanini tulikuwa tunasex ili hali sisi ni ndugu lakini ukweli naujua mimi tu kwamba hakuwa ndugu wa damu.

shemeji; kumbe ndo ilikuwa tabia yako; ndo maana nashangaa mbona dada yako akienda kujisaidia haja ndogo na kubwa inatoka kwa wakati mmoja; shemeji umeniharibia mke wangu; shemeji usije tena nyumbani kwa binamu yako. umenisikitisha sana shemeji
 
Msema kweli kasema ukweli Binamu nyama ya hamu.

Ukizidi kumMiss omba kukumbushia.
 
UFAHAMU ni kitu kinacho mfanya mwanadamu awe na busara na hekima na kuweza kuyatawala mazingira yake.....kupitia UFAHAMU mwanadamu anakuwa na uwezo wa kujua azungumze lipi na kwa wakati gani na kwa faida gani....

Kupitia UFAHAMU mwanadamu anaweza kutambua lipi baya na lipi jema kwake na vile vile kupitia ufahamu mwanadamu anakuwa na uwezo wa kujiwekea mipaka ya kimaadili ili ajitofautishe na wanyama wa mwituni....

Mwanadamu mwenye ufahamu usio na shaka huwa anajali hisia za wengine na kuwa makini na kinywa chake....
 
shemeji; kumbe ndo ilikuwa tabia yako; ndo maana nashangaa mbona dada yako akienda kujisaidia haja ndogo na kubwa inatoka kwa wakati mmoja; shemeji umeniharibia mke wangu; shemeji usije tena nyumbani kwa binamu yako. umenisikitisha sana shemeji
hahahahah
 
ahaaaa ufikiri mara mbili juu ya ilo neno ambalo amekuambia, pengine ilikuwa ni mtego kutaka kujua unamla au
 
Hebu nenda Jukwaa la Wakubwa Kule, kuna story inaitwa UTAMU WA BINAMU.. Ni nzuri Kweli, Ila Mwisho wa siku jamaa alioa Kabisa!
 
Back
Top Bottom