Ulikuwa unajiuliza wanawake wa mjini wanaishije?

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,262
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala
hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba
hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji
Tamuuu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni
Meseji yake peke yake. "Babe Mambo,Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani
nimeamka So Wet I really miss my Pompolimpo,pole
na kazi mme wangu I wish I was there nikumassage
na Ulimi hadi usinzie..Leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na
sina hata Salio.Una Sh 30,000 unitumie ninunue Luku babe wangu?Please maana kutoka mpaka ATM saa
hizi usiku.Love you xoxoxo"
Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anawaweka yale Madanga humo halafu anatafuta
Option inaitwa SEND TO MANY,anafowadi lile meseji
TWAAAAP!!Anauchuna kama dakika 5 hivi,meseji za Muamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga mpaka
Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu
"Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Rajabu
Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka kwa Justine
Kipipa" Nusu saa tu kashakusanya LAKI 6 kesho yake
anaamka anaenda dukani kwa @heavenhairtz @
heavenhairtz
anaagiza Peruvian yake ya Inchi 6 jioni unamkuta
NEWS CAFE anawaka huku anakunywa Milkshake ya
Vanilla. We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 6s
kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza
BOOM,wenzio wana MABOOM BINAFSI wanaCLICK tu
hela kibwena.
Demu akiamua Kupauka ni Maamuzi binafsi tu,Wana
Mbinu hawa Viumbe Balaa,kufa njaa labda awe Mgoloko wa Tandahimba amekuja juzijuzi na Fuso la
Mafenesi ila watoto wa mjini hawaishiwi!
 
Yani nimeisoma tu alafu nikajitasmini nikajijibu kimoyomoyo nikasema hapa nisingechomoka!!!

Ivi kwanini tunakua ivi, yani wengi wetu unaeza kuta msela anashida ya 5000 lakini unamwambia sina, alafu ikija meseji kama hiyo unatuma hata elfu hamsini!!! hii nature hii
 
-Umefanya research kwa wasichana wangapi?

-Umewainclude hadi dada zako mkuu (just curious to know sijauliza kwa ubaya)

-Ukiwa kama Mwanaume umejuaje mbinu zote hizo wewe?

-Mbona unawadhalilisha wanawake? Kwakuwa sio wote wapo hivyo lakini umewajumuisha wote.

Nice moment.
 
Haha haha stunter nimeipenda hiyo
Tatizo hata uwe mangi vipi lazima utanasa hata kwa mmoja tu
 
Yani nimeisoma tu alafu nikajitasmini nikajijibu kimoyomoyo nikasema hapa nisingechomoka!!!

Ivi kwanini tunakua ivi, yani wengi wetu unaeza kuta msela anashida ya 5000 lakini unamwambia sina, alafu ikija meseji kama hiyo unatuma hata elfu hamsini!!! hii nature hii
Sijui tumeumbwaje Aisee...
Nadhani hawa watu wanakajinguvu ka asili
 
-Umefanya research kwa wasichana wangapi?

-Umewainclude hadi dada zako mkuu (just curious to know sijauliza kwa ubaya)

-Ukiwa kama Mwanaume umejuaje mbinu zote hizo wewe?

-Mbona unawadhalilisha wanawake? Kwakuwa sio wote wapo hivyo lakini umewajumuisha wote.

Nice moment.
Mkuu vipi, Yamekutwanga nini? Mbona OMO?
 
-Umefanya research kwa wasichana wangapi?

-Umewainclude hadi dada zako mkuu (just curious to know sijauliza kwa ubaya)

-Ukiwa kama Mwanaume umejuaje mbinu zote hizo wewe?

-Mbona unawadhalilisha wanawake? Kwakuwa sio wote wapo hivyo lakini umewajumuisha wote.

Nice moment.

Hili halihitaji research madam.... iko hivyo.....
 
Ni kweli kabisa. Asilimia kubwa ya wasichana wanaojiita wa mjini hufanya hivyo. Nilikuwa na mchumbaangu. Naufahamu mshahra wake lakini nilikuwa nikishangazwa sana na ukubwa wa matumizi yake. Nilijiuliza mara nyingi sana. Anapata wapi pesa? Kila mwezi nilikuwa nikimpa laki tatu za matumizi. Lakini ukijumlisha mshahara wake, pato lake kwa mwezi halikufika hata milioni. Nilifanya uchunguzi baada ya kuanza kupata mashaka. Awali nilidhani ni michezo ya rushwa ama ngada kwa kuwa kazi yake ni ile iliyotoa uhai wa mwandizji kule Iringa. Nikawa kila silu namwonya asijihusishe na michezo yoyote haramu kutokana na kazi yake. Nikaja gundua kuwa ana msululu wa wanaume. Kwamba anaweza kukusanya hadi m2 ama zaidi kwa mwezi. Nilipopata hakika, ambayo yeye alishindwa kuprove against my findings, niliamua ibaki stori.
 
Finally Realized That Cutting People From My Life
Does Not Mean I Hate Them , It Simple, I Respect
Me...!!
 
-Umefanya research kwa wasichana wangapi?

-Umewainclude hadi dada zako mkuu (just curious to know sijauliza kwa ubaya)

-Ukiwa kama Mwanaume umejuaje mbinu zote hizo wewe?

-Mbona unawadhalilisha wanawake? Kwakuwa sio wote wapo hivyo lakini umewajumuisha wote.

Nice moment.
Hili halihitaji research madam.... iko hivyo.....
Kwani huyu mkuu ni madam kweli mbona comment zake huwa zinafanana na za wanaume?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom